Account ipo kwa jina lake tu si unajua kupenda sikuona kama ni shida na isitoshe ni mume.
Anadai kuwa anaweka pesa humo pia nimejaribu kumbana aombe internet bank niwenaweza kufuatilia akaniwashia moto nikajikuta naomba msamaha na issue ikaishia hewani.
Cha ajabu nikimwambia issue ya maendeleo ananiambia nlikuwa nafikiria hivyo hivyo mke wangu ila nikimwambia sasa tufanye hicho kitu anakuwa kimya tena na nipesa nyingi
Inawezekana eeh lol!siamini kabisa kuhusu kabinti teheeeeYah huyu nae kilaza kweli...wanawake wenzake wanahangaikaga pesa ziwe mikononi mwao bila kujali wanapendanaje...yeye anaweka kwa mwanaume...lol imekula kwake tena atakapojua jamaa huko mbali aliko ana kabinti kabamtoa upweke tena kwa hela za nyumba kubwa anazowekaga.....
Account ipo kwa jina lake tu si unajua kupenda sikuona kama ni shida na isitoshe ni mume.
Teh najua huwezi na mimi simaanishi kweli anako...LolInawezekana eeh lol!siamini kabisa kuhusu kabinti teheeee
Unajua haya mambo ni magumu sana. Kila mtu huvutia kwake. Nina mfano mmoja wa kweli kabisa Dada yangu juzi kati tu kaolewa baada ya kutiwa mimba wakiwa chuoni na mwanafunzi mwenzake ambaye ni sasa ndo mume wake. Ndugu wa Mume mtu waligoma kufanya sherehe ila sisi hatukuwa radhi mwanetu aondoke bila sherehe mwisho wa siku tukafanya sherehe. Hii ni kwamba mwanamume ambaye kamuoa dada yangu atapenda sana upande wa mwanamke (Dada yangu).
Narudi kwenye topic mimi kama mimi nampa Big up mmeo (mwanamme mwenzangu) kwa maamuzi yake hayo. Ana akili kama yangu. Na ni kama kaka zangu.
Anachokifanya ni kuepuka risk siku anakufa ndugu zake kuhangaika. Bila shaka kishaandika urithi kwa mtu ambaye Ndugu yake ambaye ana hakika atakuangalia wewe na watoto kama unao bila kusahau ndugu zake.
Kama unaona anakosea ulikuwa wapi kutafuta za kwako?
Mipango hupangwa kitandani mama,
mume kwanza kazi badae.