mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
Nina mpnz tupo kwenye mahusiano yapata miaka 3 , anaishi Znz me dar, amebadilika mno tangu January ndo tulionana toka hapo nikimwambia njoo dar Mara kazi nyingi, Mara sina nauli,Mara nasubir likizo , ukiomba Pesa anasema atatuma ila ndo mtolee hiyo ,me nimechoka sielewi nifanyeje ,ukimpigia cm anasema yupo usingizin tutaongea kesho, akikuta call anitafuti mpaka nimtafute ,jamani naomba ushauri wenu wanajf
Sina tabia ya kuomba omba Pesa ,naomba nikiwa nikiwa sina na nina shida ya ukweli na sio Pesa nyingi
Unahitaji ushauri kuhusu nini hapo mpendwa?Nina mpnz tupo kwenye mahusiano yapata miaka 3 , anaishi Znz me dar, amebadilika mno tangu January ndo tulionana toka hapo nikimwambia njoo dar Mara kazi nyingi, Mara sina nauli,Mara nasubir likizo , ukiomba Pesa anasema atatuma ila ndo mtolee hiyo ,me nimechoka sielewi nifanyeje ,ukimpigia cm anasema yupo usingizin tutaongea kesho, akikuta call anitafuti mpaka nimtafute ,jamani naomba ushauri wenu wanajf