Ptheducer15
Member
- Oct 18, 2012
- 23
- 3
Sasa hayo ni mahusiano unavyoona wew???apo wew ni msindikizaji tu
Mh. Hivi bila sex bado ni wapenzi?
Huko 38 ni umri wa kuwa tayari una watoto kilochobaki unalea tu
Mh. Hivi bila sex bado ni wapenzi?
kweli jamaa anasindikiza hapo. Anaekupenda hawezi kumaliza siku bila kukusikia.
dogo mbona unakuwa mbishi? Umeomba ushauri na wewe unaanza kutoa ushauri! We pokea na ufanyie kazi. Pia jaribu kutafakari ushauri wa wakubwa kabla ya kujibu. Waswahili walisema asiesikia la mkuu?.......... Shauri yako mi naheshimu mawazo ya mkuu "jawilat"
dogo mbona unakuwa mbishi? Umeomba ushauri na wewe unaanza kutoa ushauri! We pokea na ufanyie kazi. Pia jaribu kutafakari ushauri wa wakubwa kabla ya kujibu. Waswahili walisema asiesikia la mkuu?.......... Shauri yako mi naheshimu mawazo ya mkuu "jawilat"
Mh. Hivi bila sex bado ni wapenzi?
Umri bado mdogo usikimbilie kuoa kijana,subiri walau ufikishe 38................
Mimi ni kijana wa miaka 28, kwa sasa nahisi umefika muda muafaka wa kuwa na mwenza wa kujenga nae maisha na familia. Kuna mdada ambae nilitokea kumpenda na ninatamani awe mke wangu.kiukweli toka tumeanza mahusiano hatujawahi hata kusex na Tatizo lililopo ni kuwa simuelewi kabisa maana inaweza pita hata miezi miwili hatujaonana na kila nikimhitaji anadai yupo busy nikimuomba niende kwao angalau nimuone hataki na anakuwa anatoa visingizio tu so tunaishia kuwa wapenzi wa kuongea na simu tu na kuchat japo pia sometimes simu huwa hapokei na wala sms hajibu na nikimuuliza mbona unanifanyia ivo mpaka nakuwa sikuelewi anajibu kuwa bado ananichunguza. Tuna miezi minne toka tuanze mahusiano bt nahisi nmechoka na nahitaji nitafute mtu mwingine. Pls naombeni ushauri niendelee kumvumilia au niachane nae?