Simuelewi mpenzi wangu


Mwanzo wa imani ni kuona
Kuimarika kiimani chanzo chake ni mawasiliano
Waache waendee kuwasiliana
Baadae utakuwa oil seal za channel O hazipo.

Bazazi ni Bazazi!
 

Ndugu yangu sugi kuwa makini na huyo mpenzi wako, waafrika hatunaga tamaduni za urafiki wa mwanaume na mwanamke...hapo kuna mawili kama hakucheat basi ujue anaelekea fanya hivyo!!! ikiwa wewe una muhimu kwake kwanini asikusikilize wewe akaacha chat na hao watu wake? hakuna kinachoshindikana katika mapenzi, ikiwa anakupenda hatotaka akupoteze kwa namna yoyote ile...take care!!!
 
Ndugu yangu sugi kuwa makini na huyo mpenzi wako, waafrika hatunaga tamaduni za urafiki wa mwanaume na mwanamke...hapo kuna mawili kama hakucheat basi ujue anaelekea fanya hivyo!!! ikiwa wewe una muhimu kwake kwanini asikusikilize wewe akaacha chat na hao watu wake? hakuna nguvu kinchoshindikana katika mapenzi, ikiwa anakupenda hatotaka akupoteze kwa namna yoyote ile...take care!!!
 
kama hujui kusoma,hata picha angalia.

anyway pole sana but simply I can say she wants to make a move to those who seems to be more important than you ,coz nijuavyo mimi nikiwa na mpenzi wangu si hitaji chochote esp simu iharibu umuhimu wa upamoja wetu sembuse huyo an chart na her fellow staff tena ameshinda nao kutwa in the office then why azidi kuwapa nafasi? mind you love is not about how much u say I love u but how much you prove that its true.
 
Simu ni kisu hatari sana, achana na simu ya mwenzi wako, kama unaona ina athiri mahusiano yako na yeye kaeni muongee na kufikia muafaka.

Hayo ya majina ya Dia Mupenzi na mengine kwa maofisini naona ni kawaida sana.

Anawajibika kwako kama inavyostahili????, kama ndio unatafuta matatizo wewe
 

Nimekusoma kiongozi,pa1 sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…