mpenzi wangu anatumia mudabmwingi kuchat na simu,kwenye simu yake ana meseji,nyingi zikiwamo za wanaume,ambao ni watumishi wenzake,majina kama dia,mpenz, na mengineyo ndio wanayatumia kuitana kwenye meseji hizo,nikimuuliza anasema ni marafiki wa kawaida tu,na hii huwa chanzo cha ugomvi wetu,nifanyaje jamani?naombeni ushauri
kama hujui kusoma,hata picha angalia.
You trippin' young man.
She ain't doin' anything wrong.
They're just her friends.
mimi49 dear...kuna shida gan in those words kwani?
Halafu kwanini siku zote mtu ambaye unachat nae unamuona bora kuliko ulokuwa nae au ndo mashamsham ya mwanzo loh....Too much is Harmful.....
inawezekana bado hajacheat lakin Possibility ya kucheat inakuwa kubwa
hasa pale anaochat nao wawe soo Sweet than YOU!!!!!!
Halafu kwanini siku zote mtu ambaye unachat nae unamuona bora kuliko ulokuwa nae au ndo mashamsham ya mwanzo loh....
Mh mtu akiwa na mpenzi lazima ajiheshimu ataitaje wanaume wengine sweety,honey,asali wa moyo,barafu ya roho,darling haitakiwi hayo yapo reserved spesho kwa mupenzi....mimi49 dear...kuna shida gan in those words kwani?
Nilidhani matendo yake ndio yakutatiza, kumbe maneno tu!!!
Halafu mi Heaven on earth nakupendea hapo tu you speak whats on your mind...ni masham sham aisee huwa YANAKONGA moyo tu........
Mie kuna kijana huwa nachati nae aisee huwa ananikonga roho yangu....sio kwamba nimetoka nae hapana
ila its the kind of Person you can rely ON.........
Mhh Muke ya Muzungu i can smell somethn hapa..ni masham sham aisee huwa YANAKONGA moyo tu........
Mie kuna kijana huwa nachati nae aisee huwa ananikonga roho yangu....sio kwamba nimetoka nae hapana
ila its the kind of Person you can rely ON.........
Mpenzi wangu anatumia mudabmwingi kuchat na simu,kwenye simu yake ana meseji,nyingi zikiwamo za wanaume,ambao ni watumishi wenzake,majina kama dia,mpenz, na mengineyo ndio wanayatumia kuitana kwenye meseji hizo,nikimuuliza anasema ni marafiki wa kawaida tu,na hii huwa chanzo cha ugomvi wetu,nifanyaje jamani?naombeni ushauri
Mbona nimeachwa njia panda?😱hwell:Mhh!!!!!!Mentor nakusubiria ujue