Simuelewi mpenzi wangu

Sasa kwanini asisifie uumbaji wa Mungu?
 
Hahaaaaa ety wanaweka picha za mabwana zao kichwani
tangia.. But waambieni tu wake kwangu Shombe la Kisomali hayo madevu/masharubu/matimbalendi
ninayo kama yote
 
Kwangu, hata kama angemsifia mtu aliye kwenye TV kwa style hiyo; ingetosha kumtimua kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yesuuu hata kwenye TV? Sasa navyomsifia Gaucho, willium levy, bila kuwasahau wakaka wa kikorea na miili yao ya suti zinavyowakaaga bomna kwahiyo angekuwa ushanitimua😁😁😁😁
 
si umwambie mwanamke wako hupendezwi na hiyo tabia ili aiache sa unakuja kujilalamisha humu si kupoteza muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…