madawi mart
Senior Member
- Nov 27, 2018
- 176
- 88
Hapo umeongea kabisaSoon or later utawakuta kitandani wanabadilishana harufu labda huyo jamaa yako awe anakuheshimu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee vipi na ww ulifuga ndevu kama lacazette ?Huyo demu ana dharau balaa pia hakupendi kindakindaki.
Kipindi niko chuo manzi wangu aliniambia anapenda mwanaume awe na zile ndevu za mashavuni (wakati huo hata za kidevu nilikua sina), nikamwambia achana na mimi katafute mwenye hizo ndevu!!!!
Muda ukapita kaona picha zangu akanitafuta ooh samahani sijui nini nikaweka status mtoto mkali ili aangalie aachane na mimi, cha ajabu mpaka leo hakomi aisee.
Kiufupi wanawake wanakuaga washaweka picha za mabwana zao kichwani, Achana nae huyo!!
Si ndo ataniona nyanyaMkuu kwan kufuga ndefu sh ngap? Si ufuge na wewe?
Huyo demu ana dharau balaa pia hakupendi kindakindaki.
Kipindi niko chuo manzi wangu aliniambia anapenda mwanaume awe na zile ndevu za mashavuni (wakati huo hata za kidevu nilikua sina), nikamwambia achana na mimi katafute mwenye hizo ndevu!!!!
Muda ukapita kaona picha zangu akanitafuta ooh samahani sijui nini nikaweka status mtoto mkali ili aangalie aachane na mimi, cha ajabu mpaka leo hakomi aisee.
Kiufupi wanawake wanakuaga washaweka picha za mabwana zao kichwani, Achana nae huyo!!
Toka nduki kimbi badili mtazamo awe kiburudisho chako bila ivyo maumivi ya kuumizwa hayako mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu kama unalijua hilo why likupe stress?
Nilijaribu kupata mtazamo kwa wenzangu yawezekana ukawa ni wivu wangu kwa kuwa nampenda ila wenzangu mkaona sio tatizoSasa mkuu kama unalijua hilo why likupe stress?