Simuelewi mke wa mpangaji mwenzangu

Tafuta demu awe anakuja hapo ghetto kwako na yeye akiwepo atakata maxoea tu
 
Ulimtongoza mwenyewe kinachokushtua kitu gani? We unampaje mke wa mpangaji mwenzio elfu 30 kwa ajili ya usafi? Suluhisho hama mtaa vinginevyo aliwe tu maana kwa mpangaji mwenzio kumenoga [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe ile elf 30 ni sawa na kumtongoza mkuu
 
Nikupe siri moja boss. Kwanza pole kwa kujizamisha mwenyewe kwenye matope.

Pili tengeneza urafiki sana na mmewe hii itakupa immunity kiaina kama ukiwa na akili.

Tatu epuka kuwa iddle. Kaa kazini mda mwingi, rudi home na toka kwenda mazoezi. Ukilala nakuhakikishia hata mlio wa simu hutausikia.
 
Kaa nae mbali.

Ukiona anakusumbua sana, mtishie utamsemea kwa MUMEWE
 
Mm waliniomba hela ya mifagio,nikauliza sh ngapi mmoja,wakasema 700 na inahitajika minne,nikawapa 2800....hadi Leo maisha fresh...japo kuna mmoja anaanza shobo za kuniomba chumvi...
 
Mm waliniomba hela ya mifagio,nikauliza sh ngapi mmoja,wakasema 700 na inahitajika minne,nikawapa 2800....hadi Leo maisha fresh...japo kuna mmoja anaanza shobo za kuniomba chumvi...
Kuombwa chumvi tena hapo mengne yanafuata
 
Hatari
 
Mmmmh
 
Mimi nina swali kwanini ulimpa pesa nyingi ya usafi elfu 30 ili iweje we ulimtamani toka mwanzo wewe usituzingue
 
ushauri makini sana huu
 
Aisee wew kama sio shoga basi unatatizo... Haiwezekani mzigo unajileta wew unakimbia kuna namna hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…