kama mwanaume wake hajajua, basi Sio ishu kwao , ila ni ishu kwako coz umehamaMie alijileta nikala af nikahama mtaa....kodi nliuza chumba nikapata ya kuanzia.... Silazi dam japo inauma sana
Shida hayo mambo hayajaribiwKwani ukimpiga dudu mara moja kuna ubaya gani?!
Hilo ni muhimu au kumchimba mkwaraKwakushtuka kwake baada ya kumpa hiyo elfu 30 ilikuwa ni dalili tosha kwamba "yajayo yanafurahisha".
Fanya ufanyavyo lakini elewa mke wa mtu sumu, kwahiyo kama majaribu yakikushinda, jua tu siku ukikamatwa huna wa kumlaumu zaidi yako mwenyewe. Na wanawake wengine ni wepesi sana kujisahau hasa wakinogewa na penzi la nje. Kwahiyo watch out!
Hahahaaaa unaomba hii nafasi uipate weweAcha utoto...wenzako bahati kama hizo tunazitafuta