Simuelewi mke wa jirani yangu

Simuelewi mke wa jirani yangu

Mm nakushauri mfungulie genge la kuyza nyanya na mahitaji mengine ... Mfungulie mkeo hapo utakuwa umemsaidia
 
Mimi ni baba wa mtoto mmoja wa kiume na naishi pamoja na mwanangu na mke wangu pande za huku kanda ya ziwa.

Hapa ninapoishi kuna jirani yangu ambae ni rafiki yangu sana tu nae anaishi na mke wake lakini wao bado hawajabahatika kupata mtoto.

Mke wa wa huyu rafiki yangu amezoeana na mke wangu kiasi kwamba huwa wanatembeleana na kupiga story mbili tatu.

Kuna siku nimetoka mihangaikoni mke wangu akanihadithia kwamba mke wa jirani yangu alikuja nyumbani kumtembelea mke wangu na alikaa takribani masaa mawili wakawa wanaongea na kupiga story mbili tatu.

Wakati wanapiga story mke wangu akawa anamtania akamwambia kwamba "wewe ukija kuzaa mtoto wako hatakua mrefu kama wewe mama yake na badala yake atafuata mbegu ya baba yake hivyo mwanao anaweza akaja kuwa mfupi"

Baada ya wife kumwambia hivyo nae mke wa jirani yangu akamwambia kwamba "Kama ndo hivyo basi nitakuja kuchakachua kwa mume wako mana yeye mrefu"

Sasa embu nisaidieni wadau huyu mwanamke ana maana gani kusema hivi kwa mke wangu ?

Mana nimeona kama anataka kuniharibia ndoa yangu na kumfanya wife aone kama nina mahusiano nae kitu ambacho sio kweli mana namuheshimuna tunaheshimiana sana na mume wake.

Karibuni wadau muweze kutoa mchango wenu wa kimawazo
Huo ni utani mkuu, yaani utani wa wanawake unakuja kuomba ushauri humu ungetongozwa si ungepeleka gazetini au media kabisa, pia wewe sio mwanaume wa kanda ya ziwa, kama ni hivyo bila shaka umetokea kule kwenye tetemeko.
 
Honey Money Penny

Wanawake wapo smart sana. Hapo mke wa Mbishi 4 real ametumika kuwa kuwadi bila kujijua. Mwenyewe Mbishi 4 real amenasa mtegoni bila shuruti. Hofu yake ni itakuwaje mkewe aliyetumika kama kuwadi akijua kwamba mbegu aliyoipanda imeoza, sasa inamea na possibly itastawi?

Ukisikia mjini shule ndio kama hivi
Woyoooooooo wacha wafaulu mtihani wenyewe
 
Watakuwa walikuwa wanataniana tu mkuu.

Wacha kupelekea akili yako mbali

"Enough of No Love"
 
Mimi ni baba wa mtoto mmoja wa kiume na naishi pamoja na mwanangu na mke wangu pande za huku kanda ya ziwa.

Hapa ninapoishi kuna jirani yangu ambae ni rafiki yangu sana tu nae anaishi na mke wake lakini wao bado hawajabahatika kupata mtoto.

Mke wa wa huyu rafiki yangu amezoeana na mke wangu kiasi kwamba huwa wanatembeleana na kupiga story mbili tatu.

Kuna siku nimetoka mihangaikoni mke wangu akanihadithia kwamba mke wa jirani yangu alikuja nyumbani kumtembelea mke wangu na alikaa takribani masaa mawili wakawa wanaongea na kupiga story mbili tatu.

Wakati wanapiga story mke wangu akawa anamtania akamwambia kwamba "wewe ukija kuzaa mtoto wako hatakua mrefu kama wewe mama yake na badala yake atafuata mbegu ya baba yake hivyo mwanao anaweza akaja kuwa mfupi"

Baada ya wife kumwambia hivyo nae mke wa jirani yangu akamwambia kwamba "Kama ndo hivyo basi nitakuja kuchakachua kwa mume wako mana yeye mrefu"

Sasa embu nisaidieni wadau huyu mwanamke ana maana gani kusema hivi kwa mke wangu ?

Mana nimeona kama anataka kuniharibia ndoa yangu na kumfanya wife aone kama nina mahusiano nae kitu ambacho sio kweli mana namuheshimuna tunaheshimiana sana na mume wake.

Karibuni wadau muweze kutoa mchango wenu wa kimawazo
Hayo ni majaribu unapaswa kuyashinda, iwapo zilikuwa story za wanawake acha ziishie hukohuko kwa wanawake, dhambi ipo mlangoni mwako inakunyemelea nawe wapaswa kuishinda
 
Back
Top Bottom