Simuelewi mke wa jirani yangu

Simuelewi mke wa jirani yangu

Mimi ni baba wa mtoto mmoja wa kiume na naishi pamoja na mwanangu na mke wangu pande za huku kanda ya ziwa.

Hapa ninapoishi kuna jirani yangu ambae ni rafiki yangu sana tu nae anaishi na mke wake lakini wao bado hawajabahatika kupata mtoto.

Mke wa wa huyu rafiki yangu amezoeana na mke wangu kiasi kwamba huwa wanatembeleana na kupiga story mbili tatu.

Kuna siku nimetoka mihangaikoni mke wangu akanihadithia kwamba mke wa jirani yangu alikuja nyumbani kumtembelea mke wangu na alikaa takribani masaa mawili wakawa wanaongea na kupiga story mbili tatu.

Wakati wanapiga story mke wangu akawa anamtania akamwambia kwamba "wewe ukija kuzaa mtoto wako hatakua mrefu kama wewe mama yake na badala yake atafuata mbegu ya baba yake hivyo mwanao anaweza akaja kuwa mfupi"

Baada ya wife kumwambia hivyo nae mke wa jirani yangu akamwambia kwamba "Kama ndo hivyo basi nitakuja kuchakachua kwa mume wako mana yeye mrefu"

Sasa embu nisaidieni wadau huyu mwanamke ana maana gani kusema hivi kwa mke wangu ?

Mana nimeona kama anataka kuniharibia ndoa yangu na kumfanya wife aone kama nina mahusiano nae kitu ambacho sio kweli mana namuheshimuna tunaheshimiana sana na mume wake.

Karibuni wadau muweze kutoa mchango wenu wa kimawazo
You're still a little kid. Hivyo tu ndiyo uugue moyo? Ajabu hii!
 
nadhani wewe ndio mkware,unamtaka huyo mke wa rafiki yako,wanawake huongea mambo mengi kwa utaniutani inakuwaje utani wa kike unauleta hapa kama wewe sio mkware?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu wewe inaonekana kukua kwa mwili na akili ni inversely proportional yaan kadri mwili unavyoongezeka akili inazidi kurudi utotoni
😂😂😂😂😂😂
Aisee wacha niamke tu sasa
 
MKE WA JIRANI KAKUELEWAUREFU WAKO JAMAA
SIMPO KAMA ULIVYOANDIKA
AU SIO HONEY 50thebe ?

Honey Money Penny

Wanawake wapo smart sana. Hapo mke wa Mbishi 4 real ametumika kuwa kuwadi bila kujijua. Mwenyewe Mbishi 4 real amenasa mtegoni bila shuruti. Hofu yake ni itakuwaje mkewe aliyetumika kama kuwadi akijua kwamba mbegu aliyoipanda imeoza, sasa inamea na possibly itastawi?

Ukisikia mjini shule ndio kama hivi
 
Unataka kuanzisha kiherehere cha kufikirika tu ndugu yangu! Kwa nini mme wake na huyo demu asilalamike kwamba yeye kaambiwa eti mbengu yake ni fupi?

kutoka: 22D Arnold st.
 
Mimi ni baba wa mtoto mmoja wa kiume na naishi pamoja na mwanangu na mke wangu pande za huku kanda ya ziwa.

Hapa ninapoishi kuna jirani yangu ambae ni rafiki yangu sana tu nae anaishi na mke wake lakini wao bado hawajabahatika kupata mtoto.

Mke wa wa huyu rafiki yangu amezoeana na mke wangu kiasi kwamba huwa wanatembeleana na kupiga story mbili tatu.

Kuna siku nimetoka mihangaikoni mke wangu akanihadithia kwamba mke wa jirani yangu alikuja nyumbani kumtembelea mke wangu na alikaa takribani masaa mawili wakawa wanaongea na kupiga story mbili tatu.

Wakati wanapiga story mke wangu akawa anamtania akamwambia kwamba "wewe ukija kuzaa mtoto wako hatakua mrefu kama wewe mama yake na badala yake atafuata mbegu ya baba yake hivyo mwanao anaweza akaja kuwa mfupi"

Baada ya wife kumwambia hivyo nae mke wa jirani yangu akamwambia kwamba "Kama ndo hivyo basi nitakuja kuchakachua kwa mume wako mana yeye mrefu"

Sasa embu nisaidieni wadau huyu mwanamke ana maana gani kusema hivi kwa mke wangu ?

Mana nimeona kama anataka kuniharibia ndoa yangu na kumfanya wife aone kama nina mahusiano nae kitu ambacho sio kweli mana namuheshimuna tunaheshimiana sana na mume wake.

Karibuni wadau muweze kutoa mchango wenu wa kimawazo

Kabla ya kumuelewa mke wa jirani yako, Je unamuelewa mke wako? "wewe ukija kuzaa mtoto wako hatakua mrefu kama wewe mama yake na badala yake atafuata mbegu ya baba yake hivyo mwanao anaweza akaja kuwa mfupi"
 
Mimi ni baba wa mtoto mmoja wa kiume na naishi pamoja na mwanangu na mke wangu pande za huku kanda ya ziwa.

Hapa ninapoishi kuna jirani yangu ambae ni rafiki yangu sana tu nae anaishi na mke wake lakini wao bado hawajabahatika kupata mtoto.

Mke wa wa huyu rafiki yangu amezoeana na mke wangu kiasi kwamba huwa wanatembeleana na kupiga story mbili tatu.

Kuna siku nimetoka mihangaikoni mke wangu akanihadithia kwamba mke wa jirani yangu alikuja nyumbani kumtembelea mke wangu na alikaa takribani masaa mawili wakawa wanaongea na kupiga story mbili tatu.

Wakati wanapiga story mke wangu akawa anamtania akamwambia kwamba "wewe ukija kuzaa mtoto wako hatakua mrefu kama wewe mama yake na badala yake atafuata mbegu ya baba yake hivyo mwanao anaweza akaja kuwa mfupi"

Baada ya wife kumwambia hivyo nae mke wa jirani yangu akamwambia kwamba "Kama ndo hivyo basi nitakuja kuchakachua kwa mume wako mana yeye mrefu"

Sasa embu nisaidieni wadau huyu mwanamke ana maana gani kusema hivi kwa mke wangu ?

Mana nimeona kama anataka kuniharibia ndoa yangu na kumfanya wife aone kama nina mahusiano nae kitu ambacho sio kweli mana namuheshimuna tunaheshimiana sana na mume wake.

Karibuni wadau muweze kutoa mchango wenu wa kimawazo

Story ya uongo kama unania na jirani yako ipo siku ukifumaniwa utaliwa tigo wewe na mkeo
 
Unajiingiza kwenye masikhara ya akina mama???
 
kweli uko mkoani....wewe na nkeo mnapaswa muwe mshatumbukizwa kwenye shimo la simba mtafunwe......unaazaje kusikiliza umbea wa wanawake...na nkeo nae......jifunze kupiga punyeto....
 
Back
Top Bottom