Simuelewi mchumba wangu naomba ushauri plz plz

Mimi na mchumba anasoma 4m 1 ana miaka 16 tunapendana sana 2 hivi juzijuzi ka niambia ananipenda sana lakini anaomba nimuache asome because hawezi ku mix mapenzi na masomo anataka tuwe marafiki 2 naombeni ushauri yani sijui ata nifanye nini mimi nampenda sana

peleka usenge wako wako huko we utakuwa bwabwa unatafuta basha huku watz wamcha mungu byee .
 
Hakya ya mungu,we mwache huyo mtoto asome **** mako form 1 af unataka umharibie mtoto wa wa2.
 
JF imeingiliwa na wabakaji wewe ako katoto unakafanya nini? Ole wako kawe ka binti kangu nitakushusha busha
 
JF imeingiliwa na wabakaji wewe ako katoto unakafanya nini? Ole wako kawe ka binti kangu nitakushusha busha

mshushe busha huyo ndo akome form 1 unataka awe mchumba wako hahahahahahaha,
 
actually nawe ni mtoto tu....kisa cha kumkuza mtoto wa watu nn wewe kiumbe?acha tabia chafu,kaona huna future anakukimbia kijanja na umwache ndio,tampeleka wapi:hand: mwenzio bado mteke.
 
Mchumba form one! Utakuwa chizi wewe. Kumbuka kitendo unachotaka kukifanya ni sawa na ubakaji na ni kinyume cha sheria. Adhabu yake miaka 30 jela.
 
hapo hapo dogo jinga kaza kamba wa umri huo wakisema hawataki wanamaanisha wanataka.. msimlie unavyompenda ukilala hupati usingizi, ukinywa maji unamwona kwenye glass, huli kwa sababu yake, utamjengea gorofa angani, uzuri wake ni sawa na jumla ya uzuri wa malaika wote wa kike mbinguni......... !
 
Dogo kasema ukweli wake.Acheni Unafiki. Miaka 16 mkubwa kabisa. Vitoto vya miaka ya karibuni vinaanza utundu akiwa darasa la pili. Kama hujammega mwache tu. Ila nahisi na wewe una miaka 15 au 16. Kama umemmega huna haja ya kutuomba ushauri.
Msikilize yeye anachotaka.

KAMA UNATUTANIA WEWE NI .......................
 
Mpe muda asome, amalize o level, afike advance. Akifika chuo atajua mwanaume anaemtaka.
 
Nimecheka saana tehe tehe hili jamaa ni greatjinga kweli.Mods plz kuwe na system kuzuia registration automatical kwa watu ambao wapo chini ya age 18yrs.
 
Dogo hata uoni aibu miaka 16 umeanza kudandia kwa fujo haay ukimpa mimba una mpeleka wapi? wewe soma acha ujinga haya mambo utayakuta tu.Jamani Angalieni watoto kama hawa kuwa humu Jf ni Danger sana
 
Ninyi ndio mnatuharibia mabinti zetu. We huna dada au mdogo wako wa kike wa umri huo? Huko ghorofani kuna MAKAMASI nini.. Nenda kaombewe hilo pepo la ngono.
 
at 16 years of age, binti anaonekana kuonyesha busara zaidi kuliko mwomba ushauri... mwache binti wa watu asake elimu kwanza, and if you can wait for her that would be great
 
Back
Top Bottom