The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,247
Nianze kwa kuwasalimu wakuu!
Naomba ifahamike kwamba mimi ni mwanaharakati na mwanachama wa CHADEMA kwa miaka kadhaa sasa(nimeweka wazi kwa kufahamu fika kuna watu hapa watasema nimetumwa na Nape,Si Kweli..sijatumwa na sifikirii kutumwa kwa vile siipendi CCM,na simpendi Nape as well,make hana jipya!)
Wakuu nirudi kwenye hoja..
Hivi huyu kamanda wetu Marando na utetezi wa Manji imekaaje kaaje? Kwa madai yake ni kwamba Manji ni fisadi dagaa,je..
1.Chama chetu kinaunga mkono mafisadi dagaa?(naamini fisadi ni fisadi tu awe dagaa au papa)
2.Hivi kweli Manji ni fisadi dagaa kama alivyodai Marando kwenye mdahalo?
Ndugu zangu wanaJF,naomba mwenye uelewa wa hii issue anifafanulie zaidi labda mimi ndo sijamuelewa vizuri Mh.Marando.
Honestly naipenda CHADEMA na nahitaji kuona chama chetu kikiwa mfano wa kuigwa kwenye jamii!
Nawasilisha...