Simuelewi kabisa huyu mdada!

06:30p.m-09:00p.m
 
Asante sana kwa mwaliko.

Mungu akinijalia Nikianza familia nafikiri usomaji ni nguzo kubwa ntayowajengea wanangu. mimi nilikuja kujifunza uzeeni uku.. najiona nilichelewa sana. There lots of great things hidden is writings.
 
Ni kweli, nakutia moyo, hujachelwa ulichokianzisha kiendeleze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…