Simuelewi huyu mwanamke

Kweli pepo lenu Moja mi naambiwaga saa 2 usiku eti usiku mwema...

Nilichofanya nikatafuta mdada wa kuchat nae pale napoona napewa adhabu ya kipuuzi..

Hiyo approach yenu na ile ya kukomoa kwa kunyima papachu uwaga inafaulu sana mwanzoni mwa mahusiano mpk hapo mwanaume anapoamua kukuona mjinga na kukupuuza na kuondoa attention kwako na kupeleka kwa mtu mwingine na mara nyingi kurudisha attention km ile ya mwanzo kwako uwaga Ni ngumu sana.. hatupendi kuona tunateseka sababu ya mwanamke hata km kweli tunateseka, mwanamke mjanja ata maintain mikwara yake sababu mwanaume kulose interest Ni sekunde tu..
 
Hahahaha Mapenzi ya utumwa ndo wale wadada unawasikia nimempa kila kitu lkn kaniacha hamna nilichomkosea,nikimwambia tuyamalize hataki,kaenda kwa mwingine sasa case km hiyo mwanaume anakwambiaje sababu ya kuachana na wewe km sio atakuacha juu kwa juu ubaki unajihisi malaika usiye na bahati.
 
Sawa kila la kher!au kuna nyongeza
Kwenu wanaume mnaokimbilia kusema et kapata mwingine ndo maana kakuacha nasema hvi siyo sawa kuna vtu vingi vinapelekea uhusiano usiwe na mvuto tena asa pale mtu anapojiona tyar ashakumilik
 
Well said
 
Kuna vitu vyaweza kuwa vidogo sana kwako ila kwa mwenzio vina maana sana, wakati mwingine tunapowalalamikia mtuelewe jamani na sio kuchukulia ni ujinga.
Mi nshalalamikaga sana habar ya mpenzi kunitafuta mara moja kwa siku au mbili eti kisa yuko busy yaan bora uninyime ela ila mda wako kwangu niuone...ila hawa wamaume hawajui akitoka job analala anakucheki kesho yake asubuh eti sory nilirudi nimechoka ndomana sikukutafuta..PUMBAVU.
 
Hongera
 
Our role as women is to see if a man is happy and put a stop to that nonsense
Mkuu yaani hapa cjaelewa kabisa maelezo ya ziada tafadhari !!
 
Kweli humjali, wewe kumpigia simu mpaka utoke kazini ? Ukiwa kazin kunashindikana nini ? Halafu inaonesha ulikuwa huna cha kuongea nae zaidi ya salamu .Bora alivyokuacha unampotezea muda. Mawasiliano ni jambo la msingi katika mahusiano.
Mkuu.

Nidhamu ni muhimu sana, kama uko kazini ni muda wq kazi, kumpigia simu baby ni ziada na yeye anatakiwa kulijua hili.

Nidhamu na adabu ni muhimu sana sana.
 
Kweli humjali, wewe kumpigia simu mpaka utoke kazini ? Ukiwa kazin kunashindikana nini ? Halafu inaonesha ulikuwa huna cha kuongea nae zaidi ya salamu .Bora alivyokuacha unampotezea muda. Mawasiliano ni jambo la msingi katika mahusiano.

Bora huyo anakuwa ametenga muda wa kuwasiliana Mpenzi wake mara mbili kwa siku
Mimi huo muda sina ata ikipita wiki Kama sina kitu cha muhimu cha kukwambia sipigi wala situmi text na huwa naweka wazi kabisa kuwa ukiona nipo kimya jua nipo Poa mzima wa Afya na sina ishu Ya muhimu ya kukwambia.

Mimi nikiona upo kimya nitajua kuwa upo Poa mzima wa Afya kama kuna tatizo najua utaniambia.
 
Vumilianeni mzee hakuna sehemu utapata ambaye yuko perfect!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…