Simuelewi huyu mchumba wangu

Nakupa ukweli mchungu. Huyo mpenzi wako ana mpenzi wake ambae yeye anampenda kuliko anavyokupenda wewe.

Anavyokunyima penzi huku akikupa visingizio kua utamfaidi mkiwa ktk ndoa, kumbuka yeye ndio anaipeleka kwa huyo mpenzi wake (ambae sio wewe) kila wakati jamaa likiwa na nyege na anajitafunia awezavyo. Maana yake wewe ni mshika pembe tu!!!

Anavyokupiga kalenda usimuoe mpaka 2024 tambua kua hapo hapo anamlilia yule mpenzi wake anaempenda apeleke barua haraka kwao huku akimtisha kua kuna mtu anamsumbua na yupo tayari kumuoa (ambae ni wewe) lakini yeye hampendi. Cha kushangaza huyo jamaa anaependwa kuliko wewe wala hana time na huyo mpenzi wako na hafikirii kumuoa.

My Take: Kama una nia ya dhati kabisa, mtafute huyo mpenzi wake mmalizane na aache kabisa kumsumbua huyo mpenzi wako. Ila tambua hata ukimuoa huyo jamaa atakua anakumegea tu kisela maana ndipo moyo wa huyo binti ulipolala.
 
Simple tu...

Subiri au tafuta ustaarabu mwingine
 
Usimlazimishe mwenzako na amesema hayupo tayari.
 
Mmekutana miezi minne unataka uoe mkuu

Unamjua?
 
Asante sana mkuu acha nimkaushie uzuri matokeo ya sensa ata yy anayajua[emoji23]
 
Wanawake Wana mbwembwe watakapo olewa, eti unakuta mwingine anazuga apendi pesa ukimpa anakataa shenzi type kumbe ana shida kuliko hata serikali, wewe achukui hela yako anapiga mzinga kwa mwingine.
 
Hebu weka namba yake hapa nimfokee.

Haiwezekani akuone mtoto kiasi hicho hadi kukuchuna anakuhurumia. Yaani kakuhurumia usioe, bado hata kukuchuna hataki.

Nipatie namba yake, nimekaa pale....
 
Hebu weka namba yake hapa nimfokee.

Haiwezekani akuone mtoto kiasi hicho hadi kukuchuna anakuhurumia. Yaani kakuhurumia usioe, bado hata kukuchuna hataki.

Nipatie namba yake, nimekaa pale....
[emoji23][emoji23]saikolojia ya hawa viumbe hatuwezi ielewa mkuu, hapa tunashauriana kama njia yakupata mawazo mapya kulingana na experience za wadau mbalimbali, kuhusu maamuzi ni jukumu langu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…