Simuelewi huyu mchumba wangu

Miezi minne tu unataka umuelewe binti na uoe? Jipe muda ndugu yangu. JIPE MUDA USIJE KULIA TATA!
 
Mkuu yeye ana miaja 24 namm nina 28,kama starehe nishafanya sana sasa hakuna ladha ambayo siijui, ninachohitaji nioe niangalie maisha k ama upuuzi nishafanya sana
Tatizo wewe si mkweli na kulidhibitisha hilo rudia kusoma uzi wako.
 
Anabaniwa Pagale sio ahahahaahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂
 
Ila comments za wadau zinapanikisha kichizi [emoji23][emoji23]

Bro we mpe statement moja tu "Nikuoe sasa hivi au nitafute mwingine?"

Katasema tu, we hunipendi, ungenipenda ungevumulia nyoko nyoko nyingi, ila mwambie leo ndio uamue hatma yetu, ukisema nikuoe kesho kanisani, ukisema siwezi nikiondoa mguu wangu hapa ndo imeisha hiyo

Na mwanamke anatakiwa kumsubiri mwanaume sio mwanaume unamsuburi mwanamke
 
Walokole ndivyo walivyo kikubwa usimpeleke mbio mbio...mwanamke hapelekwi mbio mbio mkuu..huku unasubiria tunda lake endelea kutafuna hawa wengine huko endelea kukumbushia kumbushia mwisho wa siku una enjoy kimasihara
 
Pamoja sana kaka
 
Jipe week 2 tuu za kumkaushia,akipiga simu mara 10 pokea 2 tuu ,akituma meseji 20 jibu 3 tuu halafu sikilizia reaction yake.kama kweli anakupenda itajionesha na kama hakufeel pia utaona.
 
Jipe week 2 tuu za kumkaushia,akipiga simu mara 10 pokea 2 tuu ,akituma meseji 20 jibu 3 tuu halafu sikilizia reaction yake.kama kweli anakupenda itajionesha na kama hakufeel pia utaona.

Mambo nilikutumia pm unaweza kuangalia unijibu
 
Au huyo manzi anampenda jamaa mwingine ila nayeye anazungushwa ,hivyo anajipa muda huenda akakubaliwa ila ikifika 2024 hajakubaliwa ndio ataamua kuolewa na jamaa yetu mleta uzi.
 
Jipe week 2 tuu za kumkaushia,akipiga simu mara 10 pokea 2 tuu ,akituma meseji 20 jibu 3 tuu halafu sikilizia reaction yake.kama kweli anakupenda itajionesha na kama hakufeel pia utaona.
Fact brother, i like it
 
Kumbe huwa unakwama? Ukimuoa mtakula nini sasa mkikwama?
 
Huyo ni mzinguaji au huenda anakuchora tu maan angekuchana kabisa kwamb lengo la kusogeza mbele mipango ya harusi ni nin ingekuwa balida so mpoteze wanawake wako wengi kiongozi don't waste your time just look for the another one ...God bless you for your journey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…