Simuelewi huyu mchumba wangu

Asante mkuu na hapo kunisaidia nikikwama, kuhakikisha ibada tunaenda wote pananichanganya
 
Utaelewa tu taratibu
 
Anamsubiri anaempenda, anahisi hapo katikati atakua kajirekebisha so ataolewa nae. Wewe ni kama back up, huyo jamaa akizingua mpaka 2024 basi ww kilaza utamuoa.

Kwahiyo ni kusubiri tu, ila 2024, ni uhakika coz huyo jamaa yake atakua hana mpango nae baada ya kupiga atakavyo.
 
Hata mm nilihisi hvyo mkuu ila nikaona nipate ushauri kwanza ndipo nifanye maamuz, shida niliqah mtema akaitisha kikao kanisani tukayaongea yakaisha
 
Bikra hana mkuu, anasema alitolewa kipind hicho hana fahamu kama sasa hvyo katia ngumu adi nimuoe shida ananipiga kalenda kama fedha ipo kilia kitu kipo sawa
Una ushahidi gani kuwa hana bikira?

Umeshalikoroga man humpati huyo mdada
 
Una ushahidi gani kuwa hana bikira?

Umeshalikoroga man humpati huyo mdada
Kipindi ananikazia adi nimuoe ndio nilimuuliza kama ana bikra akasema hana ila hawez kufanya adi nimuoe kwaaababu wakati anatolewa bikra alikua hana fahamu kama hv sasa ni mlokole
 
Yawezekana ni mm tu ndie nilietoa hii thread ila wapo wangi wanajifunza kupitia huu uzi hvyo ni busara kutoa maoni kwa kupunguza ukali wa maneno,kwanza tupo mtwara hatupo dar
Ina maana mpaka hapo hujaelewa wahenga tunasemaje?

Ukali wa maneno ndio ushauri wa wahenga hatuwezi kusema kwa upole ili kukutia moyo ilihali upo empty kichwani.
 
Gia uliyoingia nayo ya kutaka kuzini naye imemfanya akuone sio mume sahihi, alivyoenda kujitafakari na kuona kasi uliyonayo ameona huna upendo wa kweli ila unasukumwa na tamaa za mwili. Unahitaji kutuliza kichwa na umwombe Mungu akusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…