Simuelewi huyu ex wangu

Hapo kwenye mambo safi na kupigwa tough ndiyo sijapaelewa yaani upigwe tafu na pesa za mwaume mwezio anayehudumia mke wake? Kuna tukio unalitazamia wewe eeh shauri tabia za kimarioo hizo.
 
Wanasema usiusemee moyo wa Mwingine, huwezi jua akiona hali ngumu anayoipitia Mwenzake akaingiwa huruma akampa hata mtaji ajiajiri.
 
Mkuu wanawake wana visasi vizito hasa kwenye suala la kuumizwa ki hisia

Nilishawai muumiza mdada hivy hivy yaani kilichotokea ni hatari nilijutaaaaa

Na aliniambia bado maisha yangu nitajutia labda niwe mbali sna nae au nife
 
Duh, ni noma...ila inategemea na Mtu na tabia yake.
 
Back
Top Bottom