Simuelewi huyu demu

Unapata wapi mda wa kufata mademu unaacha kupiga msuli? Soma kwanza mapenzi baadae,mie nimeamua kuweka mapenz pemben hadi nimalizie masters yangu sasa wewe bweteka na haya mapenz ya watoto wa mujini uanze kulialia baadae! Shtuka ukiona manyoya ujue imeliwa
 
HA HA MKUU KWA MWENDO HUU KUKUFIKIA NI KAZI SANA NAWEZA ISHIA PgD
 
aah kibish unahonga afu unakula mzigo vingine unajiongeza mbelembele

ha ha ha ha hiyo ni kawaida yangu ya kuhonga nakusepa, ila nimeona inanipeleka loss , nilikuwa na pesa kama 900,000/ nilivyokuwa first semester kuja kuangalia nina 200,000/ , tangu sku iyo nikaona ntapotea
 
aah lak 7 nzima mbona mi nawad*nya sana hpa geto kwang(cnza)..tafta geto ni*ga ataingia king tu..atakua ankuja kila cku
 
Kusoma hujui, hata picha huoni..?? tafuta mwingine
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…