habarini wanajamvini.
mimi nina mpenzi wangu ambae nawea sema tunapendana ana sasa kabla hajawa na mie aliwahi kuwa na mpeni wake yaani gf kwa maana hiyo baada ya kuachana na yule ndipo alipokuja kwangu na bahai mbayamimi sikuwahi kumjua uyo dada nilikuja mjua baada ya yeye kuanza kunitafuta na kuniukana kwa meseji .kinachoniuma mie huyu dad amekuwa sio mstaarbukabisa annizushi mambo ya kila aina hasa kwa watu ambao mie naheshimiana nao ..jmatatu ya juzi meenda kumwambia mtu naeheshimiana na e kwamba mimi mchawi na hata huyu wana nilimpata kichawi na mbaya zaidi annitisha amenifayia kitu kibaya sitazaa mpaka nakufa . Ndgu zangu afikiria nimfanyeje sipati jibu maan umepita muda mrefu zaidi ya mwaka ila yeye haaci kuchafua jina langu na kunikahiu uvumilivu wa kukaa kimya unakaribia kuishinda n mbay zaii anadai huyo ni mume wake wakati sio kwli walikuwa tu gf na bf haa kutambulishana tu hiyo hatua hawakufika na hawakuwahi kishi amoja hata siku moa .mbaya zaidi huu dada alishafikia hatua ya kwenda kuiba kia kitu kwa huyu jmaa na akab fedha benki zaidi ya milioni moja akisema anamkomesha maana hatuuwa uaja kama ni mtu mbaya hivyo hatuonaumuhimu wa kubadili vitasa vya nyumb kumbealikuwa ameshanchongsha kindi wako wote kaunza kwao baada y kuachwa akafanya uo nyama halafyu ni msumbfu sana tena sana ni kama analazimishia mapenzi ila miekinachonichefua ni huk kuchafua jina langu. naombeni ushaui wennimshtaki au nifanyeje ikumbukwe huu dad alishawahi zaa n mtu mwingine na wakazaa mtoto ila kaachika pia