Simuelewi anataka nini

Sasa nikaamua kufanya maamuzi ya ku move on,
Sasa nini kinakuwasha ikiwa umeamua kusonga mbele kivyako?

Kuna vitu uliona haviko sawa na usimamie hivyo daima. Acha upumbav kurudi nyuma wakati nafsi ilishanusa hatari. Tatizo unawaza kwa kichwa cha chini. Biblia inasema, KIUNGO KIMOJA KIKIKUKOSEA KATA UKITUPE,....... YAFAA KIUNGO KIMOJA KIPOTEE ILI KUPONYA MWILI WOTE NA JEHANAM. Hapa akili kichwani...
kila siku lazima anitumie ujumbe wa usiku mwema my love, na asubuhi hivyo hivyo, ana siku karibu tisa anafanya hivyo na sijawahi mjibu hata siku moja na hachoki.
Wewe inakuhusu nini, ni yeye. Wewe endelea na yanayokuhusu ikiwa ni kukaa kimya au kujibu.


Kuna upendo hapa wadau?
Acha kuchanganya upendo na vitu vya kijinga wewe
 
Hapo mekupat mkuu
 
Unaenda kupigwa na kitu kizito utosini..anyway huyo hajatulia , kama unampenda mzalishe alaf umuoe , vinginevyo utachunika alaf atazalishwa na wahuni wengine
 
Unaenda kupigwa na kitu kizito utosini..anyway huyo hajatulia , kama unampenda mzalishe alaf umuoe , vinginevyo utachunika alaf atazalishwa na wahuni wengine
Mimi nime sha move on mkuu
 
atakusumbua huyo mkazie hivyo hivyo
 
Ulikuwa unampa hela?au ndio baby baby tu?
 
Km hutak kuziona izo texts zake mtie kabatini mkuu kitu gan huelew,na km huna furaha uko ulikomove on ongea nae huwez jua alikua anapitia nn
 
Dalili zinaonyesha hakuna mapenzi hapo. Ss unachotafuta kitu gani mkuu?... Inaelekea Bado huja move on ndo Mana anakufikirisha. Tafuta demu mwengine, kwani hauna mpk ss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…