alikua ananiita bby mara akaanza kuniita ndugu yangu mara boss etc
Mpe hela, inaonekana umepunguza matumiziHope mko salama,
Niko na mahusiano na mwanamke kwa miezi 5 sasa mwanzoni tulikua tupo vizuri tuu calling , chatting, sex etc
Sasa mwezi huu mwanzoni akanza kufanya vitimbwi visa vya ajabu ajabu mara unaongea nae kwenye simu kidogo anakuambia ana usingizi, message hajibu kwa wakati, sometimes anaweza kuona missed call asikutafute kabisa na status anapost na yuko online ukimuuliza nn shida anasema hakuna shida yaani akawa kama yupo tuu.. alikua ananiita bby mara akaanza kuniita ndugu yangu mara boss etc
Sasa nikaamua kufanya maamuzi ya ku move on maana nilionq kabisa hakuna tena mapenzi, nikaamua kukaa kimya kabisa nikawa simtafuti tena, wala kumpigia tena simu.
Akaanza kunitumia message mbona kimya tatizo ni nni nikawa sijibu , akipiga sipokei,
Sasa kilichonileta hapa ni hiki
Kila siku lazima anitumie ujumbe wa usiku mwema my love, na asubuhi hvo hvo ana siku karibu tisa anafanya hvo na sijawahi mjibu hata siku moja na hachoki
Kuna upendo hapa wadau ?
Ndo shaamua ku move on[emoji1787] Maisha haya. Fanya mambo mengine rafiki.
Nina experience ya hiyo kitu. She is seeing other guy. Ndio maana mwingine Haku-address kama mpenzi. Achana naye. Hiyo tabiaa haji kuacha.Hope mko salama,
Niko na mahusiano na mwanamke kwa miezi 5 sasa mwanzoni tulikua tupo vizuri tuu calling , chatting, sex etc
Sasa mwezi huu mwanzoni akanza kufanya vitimbwi visa vya ajabu ajabu mara unaongea nae kwenye simu kidogo anakuambia ana usingizi, message hajibu kwa wakati, sometimes anaweza kuona missed call asikutafute kabisa na status anapost na yuko online ukimuuliza nn shida anasema hakuna shida yaani akawa kama yupo tuu.. alikua ananiita bby mara akaanza kuniita ndugu yangu mara boss etc
Sasa nikaamua kufanya maamuzi ya ku move on maana nilionq kabisa hakuna tena mapenzi, nikaamua kukaa kimya kabisa nikawa simtafuti tena, wala kumpigia tena simu.
Akaanza kunitumia message mbona kimya tatizo ni nni nikawa sijibu , akipiga sipokei,
Sasa kilichonileta hapa ni hiki
Kila siku lazima anitumie ujumbe wa usiku mwema my love, na asubuhi hvo hvo ana siku karibu tisa anafanya hvo na sijawahi mjibu hata siku moja na hachoki
Kuna upendo hapa wadau ?
Wote me naona mna akili za kitoto.Hope mko salama,

Teari mkuu shafanya maamuziNina experience ya hiyo kitu. She is seeing other guy. Ndio maana mwingine Haku-address kama mpenzi. Achana naye. Hiyo tabiaa haji kuacha.
Hakuna haja ya kujua muafaka alichokua anafanya anajua fika so ukimya wangu utakua ushampq majibu kuwa nimeamua ku move onWote me naona mna akili za kitoto.
Watu wazima uzungumza na kufikia muafaka na kila mtu kujua nafasi yake
Me naona subilini wote mkue kwanzaHakuna haja ya kujua muafaka alichokua anafanya anajua fika so ukimya wangu utakua ushampq majibu kuwa nimeamua ku move on
Basi sawa.Me naona subilini wote mkue kwanza