mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. Kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy!
Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahisi kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu!
Nimfanyaje mke wa namna hii?
Duh,majanga,uyo lazima kuna mtu anadate nae uko aliko.Ukitaka kumjua mwanamke mwenye mahusiano nje ya ndoa hiyo ni dalili mojawapo coz huwa hawawezi kujificha.Nakushauri usichukue uamuzi mgumu kwa sasa ila nakuachia assignment ya kumchunguza kama ana mtu au lah achilia mbali kuwapa pesa ndugu zake.Tafuta tu kijana yeyote huko alipo na mkabidhi picha ya mkeo kwa ajili ya kumfuatilia,utapata jibu.Yameshawahi kunikuta maswaibu kama yako na nikatumia mbinu ninayokupa nilipata jibu.Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. Kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy!
Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahisi kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu!
Nimfanyaje mke wa namna hii?
Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. Kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy!
Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahisi kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu!
Nimfanyaje mke wa namna hii?
Haya ndiyo matatizo ya wanaume wa cku hizi wanaoa wanawake wenye kazi ili kupunguziwa majukumu yao! Aaaagh! Kwani kutuma pesa home ni tatizo? Labda kama hajakushriksha! Je,mlikubalianaje kuhusu matumizi yenu ya pesa?au umemkurupusha tu?afterall mwanaume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia zakwangu nitatoa nikiamua tena penye ulazima eboo! usilalamike kakope! ndo uanaume huo!
Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu!
Nimfanyaje mke wa namna hii?
Haya ndiyo matatizo ya wanaume wa cku hizi wanaoa wanawake wenye kazi ili kupunguziwa majukumu yao! Aaaagh! Kwani kutuma pesa home ni tatizo? Labda kama hajakushriksha! Je,mlikubalianaje kuhusu matumizi yenu ya pesa?au umemkurupusha tu?afterall mwanaume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia zakwangu nitatoa nikiamua tena penye ulazima eboo! usilalamike kakope! ndo uanaume huo!
Nawashukuru kwa ushauri mzuri! Nimemhangaikia sana huyu bbie na kaanza kazi mwaka huu hana muda mrefu i thought akianz kaz pengine ningepata ahuen lkn sion kabisa mwanzon alianza vizuri akawa yupo wazi kwa vile ndo alikuwa hajastabilize nikaona ngoja nivae ubaba hizi siku ambazo nimekaa naye nimebaini mambo yake yako private sana anyway almost huwa namwambia kila mpango wangu ninaotaka kuufanya lkn yy wapi hata nikituma 20 elfu kwa bibi ntamwambia da nilienda kuangalia jinsi ya kumfanyia uhamisho na nikawa nimeingia gharama kwa jinsi alivyoniboa nimeamua nisitishe hilo zoezi nijaendelee na maisha yangu! Khnachoniuma nimepotez dili zangu nyingi na nimeacha kazi kibao zinanisubiri then naishia upuuzi very disappointing!
Mimi na wife tumebahatika
kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. Kijana
wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy!
Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Niligundua amekuwa akiwatumia
ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahisi kuna business wanafanya yy
na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio
wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua
mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai
hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km
sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako
malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm
nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month!
Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa
kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu!
Nimfanyaje mke wa namna hii?