Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,877
- 37,676
sm tym wanawake tuna matatizo sana! inashangaza kuona unashindwa kumlipia mwanao wa kumzaa ada ya shule, eti km vipi mtoto akae nyumbani! dah! we mwanamke! pole sana bro. swala la kufanya biashara na dadaake its ok, but kubwa ni mtt kumpa haki yake, na isitoshe mume mambo yameyumba na ukweli mke kaambiwa, dah! aisee hii dunia inamazito sana! binadamu tuna roho za ajabu sana! km kuna ugomvi kati yenu, hizo tofauti zisipelekee kumweka mtoto kwny mazingira magumu na akakosa haki yake ya msingi tena ELIMU! jamani!!
Haya ndiyo matatizo ya wanaume wa cku hizi wanaoa wanawake wenye kazi ili kupunguziwa majukumu yao! Aaaagh! Kwani kutuma pesa home ni tatizo? Labda kama hajakushriksha! Je,mlikubalianaje kuhusu matumizi yenu ya pesa?au umemkurupusha tu?afterall mwanaume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia zakwangu nitatoa nikiamua tena penye ulazima eboo! usilalamike kakope! ndo uanaume huo!
Haya ndiyo matatizo ya wanaume wa cku hizi wanaoa wanawake wenye kazi ili kupunguziwa majukumu yao! Aaaagh! Kwani kutuma pesa home ni tatizo? Labda kama hajakushriksha! Je,mlikubalianaje kuhusu matumizi yenu ya pesa?au umemkurupusha tu?afterall mwanaume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia zakwangu nitatoa nikiamua tena penye ulazima eboo! usilalamike kakope! ndo uanaume huo!
teh teh nitakuchekkaribuni wewe noumah nakukubali,mwambie basi aongeze mazoezi na ya kiuno hadi mzee ashangae kinavyozunguka kama feni!!
Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. Kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy!
Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahisi kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu!
Nimfanyaje mke wa namna hii?
Madame B!Mie naona kafanya jambo jema sana.
Maana ninyi wanaume huwa hamuaminiki hata kidogo.
pole yako
mkeo ni mchaga???? maana wachaga ndio wana hiyo kasumba mbovu ,yakusema mume sio ndugu yako jenga kwenu upate pakufikia akishajenga wanakaa wao!!!kama ni mchagga umeliwa mbe!
Edson vaa viatu vya baba wa familia na hudumia familia yako. Pesa za kina mama zinawatosha kwa saloon na kucheza kibati si vinginevyo
ndoa....!
..ss mkuu hata hatuujui makubaliano yenu kwny masuala ya pesa!
..km mwanaume ni jukumu lako hilo bt ukisaidiana na mama,.hapa wanawake lazima tukubali kusaidiana kupo! Ila sio mwanaume ss ndo ujiachie kila kitu afanye hyo mkeo
..najua sio muda wote mtu unakuwa na hela, ila hapo mwanamke nae hajafanya fresh,ss akiacha mtt akae nyumbani atakuwa amemkomoa nani!?
...big up my Mom aisee!
mara ya mwisho kumtumia pesa mama mkwe ilikua janauary mwaka huu! Huwa nawatumia mara kwa mara tena kabla wife hajapata kazi!Ukimuuliza huyo mwanaume kama alishawahi kutuma hela kwa wakwe zake utashangaa majibu. Utashangaa zaidi ukimuuliza na yeye ameshatuma hela ngapi kwao ndo utakoma. Hukawii kukuta anamjengea dadake!