labda mwezi wa pili mtapata au huu wa kwanza mwishoni
mm Nina HTC one m8 nitafanyeje niweze ku upgrade to that particular level.5.
Afadhali na sisi wenye HTC one max tumekumbukwa kuhusu os mpya us lollipop....htc watoa ufafanuzi simu zitakazipata lollipop HTC's Lollipop update schedule leaks, original One is next - GSMArena.com news
Hivi si simu zote zinazokuja na Kitkat zita upgrade kuja Lolipop?
sio zote hadi mtengeneza simu atoe update. mara nyingi simu muhimu za kampuni ndio zinapata update kama vile simu zinazouzwa bei kubwa au simu ambazo zimeuza sana. ni nadra kukuta simu za bei rahisi zinapata update
Ok asante mkubwa...
Last query hapa nina Jamaa yangu kapigishwa Sony Xperia Z2 nshajua tu hii ni clone maana bei tu aliyouziwa ni 150,4MP instead of 20MP,Muonekano wa Laucher sio ya Sony hii na wala hajabadilisha...Mtumiaji sio mtaalamu ni newbie kwenye android ila kilichonishangaza akienda kwenye "About phone" android version ni 4.4.2
Je,Mediatek zina run Kitkat kweli?
Maana habari nilokua nayo ni kwamba hii kitu hai run kwenye low end chipsets na nafikiri hii sony yake itakua MTK...
Ok asante mkubwa...
Last query hapa nina Jamaa yangu kapigishwa Sony Xperia Z2 nshajua tu hii ni clone maana bei tu aliyouziwa ni 150,4MP instead of 20MP,Muonekano wa Laucher sio ya Sony hii na wala hajabadilisha...Mtumiaji sio mtaalamu ni newbie kwenye android ila kilichonishangaza akienda kwenye "About phone" android version ni 4.4.2
Je,Mediatek zina run Kitkat kweli?
Maana habari nilokua nayo ni kwamba hii kitu hai run kwenye low end chipsets na nafikiri hii sony yake itakua MTK...
Umenikumbusha zamani sana..... Mpaka leo ninayo L7 ktk begi iliharibika charger system. Ila ndo hivyo spears hakuna... Ila nimezimiss sana HELLO MOTO.Moto wako poa sana unaikumbuka l6 mkuu? nambie enzi zake.
Alaf nambie eaphone zake na mziki wake ulivokuwa mtamu.
Nataman sana moto awashe moto kama huawei au tecno yani ziwe kibao.
Nashachoka ma simu ya jezi najipanga kwenda sony au motorola, sitak nokia, samsung,wala nni.
huawei most ni ---- so haziwezi, hizi za y-series sahau, mediatek kupata official update ni ndoto, next time jiue nunua real toy, btw ikipigwa code inaenda tu lollipop
TECNO vipi?
Mie cjui maana ya technological terms kama hizi jamani: jelly bean,kitkat,CPU,RAM,ROM,1.2GHz/1.3GHz,cjui 3G,2G,4G n.k
Wataalam kina chief Mkwawa and the like p'se nisaidieni make jf darasa tosha.
Aksanteni.
TECNO vipi?
Nimeipenda opposition ya kuhamisha app to internal memory kwenda sd card
Tukiwa tunakaribia mwisho wa mwaka na manunuzi ya simu yanazidi kuongezeka makampuni mbalimbali yameanza kutangaza list ya simu zao zitakazopata hii update ya pipi ya kijiti. Nimeamua kuweka list ya simu zitakazopata hii update kwa pamoja ili ukienda kununua simu ujue unanunua simu gani ili baadae ipate hii update na kuondoa kero ya kununua simu kila siku.
Sony xperia
Sony wao wametangaza simu zao zote zinazoanziwa na herufi Z basi zitapata update ya lolipop hii ina include hadi simu kama xperia z, z ultra, zr na zl ambazo ni za toka mwaka 2013. Hivyo kama una plan ya kununua xperia inayoanziwa na herufi z au unamiliki simu kama hiyo usiwe na wasiwasi utapata update yako muda ukifika.
Motorola
Motorola amefurahisha wengi kwa kutoa update hii kwa karibia simu zake zote, hii ni list ya simu zake zitakazopata hii update
1.moto x zote ya mwaka jana na huu
2.moto g zote za mwaka jana na huu
3.moto e
4.droid ultra
5.droid maxx
6.droid mini
Inafurahisha kuona simu kama moto E inapata hii update kulingana na bei yake ilivyo rahisi.
HTC
HTC yeye ameconfirm simu nne tu ndio zitapata lolipop ambazo ni
1.htc one m7
2.htc one m8
3.htc one mini
4.htc one mini 2
LG
1.lg g3
2.lg g2
Asus
1.zenfone zote
2.padfone infinity
3.padfone s
HTCone m7 na m8 zitapata update hii ndani ya siku 90 toka ilipotangazwa hii update.
Hao ni manufacture watatu wameshatangaza, wengine wakiongezeka nitaupdate list.