Simu zitakazopata android 5.0 aka lollipop

Mimi nina z1 compact sasa Tatizo nikitaka ku update inaniambia Mpaka Ni connect kwenye laptop.kama kuna Mtu ana utaalam basi anielekeze.
 
Mimi nina z1 compact sasa Tatizo nikitaka ku update inaniambia Mpaka Ni connect kwenye laptop.kama kuna Mtu ana utaalam basi anielekeze.

sidhani kaka kama inahitaji laptop maana simu zote za siku hizi zinapata ota updates. hebu upload screenshot ya hilo tatizo tuone
 
sidhani kaka kama inahitaji laptop maana simu zote za siku hizi zinapata ota updates. hebu upload screenshot ya hilo tatizo tuone

chief by ota umemaanisha inaji update yenyewe au? maana jamaa mtaani wanapiga pesa kwa hizo updates
 
chief by ota umemaanisha inaji update yenyewe au? maana jamaa mtaani wanapiga pesa kwa hizo updates

ota inamaanisha over the air yaani simu inapata updates toka kwa mtengeneza simu bila kupitia kifaa chengine kama computer.

updates kama ya lolipop ni kubwa hivyo challenge hapa ni kupata internet connection yenye speed na yenye data za kutosha. inaweza range mb 300 hadi 2gb kwa hii lolipop.

huwenda hao jamaa wanapiga hela sababu wana internet nzuri.

ku update na ota nenda setting halafu about halafu software updates
 
Kaka mkwawa sisi wa HTC one max ndio tusahau hii lollipop?
 
thanks sana chief
 
Hii hapa screen shot ya Xperia z1 compact.
 
Attachments

  • 1421120217463.jpg
    41.1 KB · Views: 290
Nimefurahi kwamba nimepata android 5.0.2 kwenye moto g yangu juzi
 
Attachments

  • 1421314719181.jpg
    39.4 KB · Views: 270
  • 1421314769966.jpg
    50.5 KB · Views: 260
Huawei hakuna duuuu

huawei most ni ---- so haziwezi, hizi za y-series sahau, mediatek kupata official update ni ndoto, next time jiue nunua real toy, btw ikipigwa code inaenda tu lollipop
 
Ambao mshaonja lollipop nini sie tunakosa na kitkat zetu?

Je feature walizosema zipo?

kama security? ulaji wa betri je?

vip mambo ya ku stuck ovyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…