Simu zenye madhara kwako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simu zenye madhara kwako

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Arushaone, Aug 27, 2012.

 1. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 624
  Trophy Points: 280
  Kulingana na rafiki yangu anayefanya kazi kwenye kampuni moja ya simu ulaya, simu zenye kuishia na namba zaidi ya 50 kwenye imei ni hatari kwa kuwa zinavuta nguvu nyingi zenye madhara kwa afya. So *#06# no's 2 za mwisho zisizidi 50.
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  kampuni gani ..? hiyo ni code ya kujua IMEI number ya simu haina uhusiano na unachoongea... nasikitika kukupa taarifa kwamba umedanganywa ...
   
 3. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huwa tunasema amepotoshwa, sio amedanganywa, ebua angalia ID yake sio JK huyo
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kudadeki yangu inasoma 93, aiseeeee we jamaa toa uongo hapa, ngoja nitafute mwenye simu kama yangu nayeye tuone kama hizo No 2 za mwisho zinafanana au la
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,795
  Likes Received: 7,119
  Trophy Points: 280
  mi yangu 65 na ni original

  Simu feki haiangaliwi na imei ya mwisho ni imei ya 6 ithink kuna thread humu inaelezea
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  A simple Googling and I came up with this
  Your phone's IMEI (International Mobile Equipment Identity) number is an uniqueinternational "serial number" for your phone to be properly identified from any other phones. It is normally a 15-digit number. However, sometimes you might find it to be 17 digits. But the real effective IMEI number is only the first 15 digits, the last 2 digits are unimportant as they are just checksum numbers.
  Your IMEI can be found by the following 2 ways:
  1. You can press *#06# on your phone's main screen (where you enter phone numbers) to see it displayed on screen.
  2. Remove the back cover (if any) and the battery, there is a 15 digit serial number printed on the back of the phone.
  We recommend you to always use method 1 to retrieve your IMEI number since it is truely the IMEI number of the mobile phone. When you are sending us the IMEI for unlocking purpose, please only send the 15 digtis without dashes (-) or space ( ).

  Umeona hapo kwenye RED
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  JK mtoto wa mjini hawezi kudanganywa rahisi hivo...
   
 8. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Ninachofahamu mimi ili kujua ni kiasi gani cha mionzi ambayo hutolewa na simu yako ni kuangalia namba iliyo kati ya talakimu ya sita na nane katika mkululo wa hiyo IMEI namba ya simu yako kwa mfano:IMEI 654378087654789 . Namba hiyo inatakiwa isizidi 2. ikizidi hapo itamaanisha simu hiyo ina toa mionzi mingi.

  Hata hivyo inapendekezwa kwamba ili usiathirike na simu hizi fanya yafuatayo kila utumiapo simu yako:
  1. unapotumia simu yako usiibandike au kukandamiza kwenye sikio. iweke mbali na sikio kuanzia sm 1.5
  2. ama tumia loudspeaker unapotumia simu yako.
  3. ama tumia headset - headphone
  4. ama tumia sms badala ya kuongea
  5. unapotumia simu yako hakikisha minara ya mtandao (coverage signal) iko juu, kwani kama minara iko chini ndivyo simu yako inavyotumia nguvu nyingi kusaka mawimbi na kutuma mawimbi ya sauti kwenye transmiter pole/tower.
  6. Pendelea kutumia landline phone au wireless phone zile za mezani kila inapopatikana.
   
Loading...