simu zangu leo

simu zangu leo

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
jamani simu zangu mbili nokia e71 na htc touch diamond,zimekuwa zikizima na kuwaka sijui tatizo ni nini,mwenye ufahamu na hili naomba anijulishe,je inauhusi
ano na mambo ya digital au kuzima simu feki?simu hizi original zote
 
daa,simu zote mbili??hata sijaziunganisha na computer wala,cjaingia net??
 
Ni mbwembwe zake tu hizo zinasherehekea Xmas, mwendo wa discolight.
 
Usifadhaike, ingia menu > mpangilio wa simu > huisha mpangilio wa kiwandani > ingiza neno la siri > OK. Simu imeshapona
 
Ni original kweli hizo mkuu?pole Naona aanza kuaanda hela ya zingine zikianza hivyo ujue zinakuaga aga
 
Back
Top Bottom