Simu za Xiaomi

Vipi kuhusu changamoto za spare?
Hapo nafkiri kuna kamtihani kidogo, kipindi me naitumia madukan hazikuwepo nakumbuka nilihangaika sana kupata cover mpya, plus screen protector ikawa ya kugushi, sijajua kwa sasa me yangu ilikujaga ibiwa kwenye dala2
 
Ukivitaka hivyo navyo waagiza pia na ni cheaper huko kuliko kuvopata hapa. Unaponunua bidhaa usiwaze mambo ya spare.Ikibuma agiza. Mimi nina mwaka sijapata uharibifu wowote
 
Hizi simu zinatumia MIUI OS,
Hazina Play services /Google Play Store ila kuna jinsi ya kufanyia installation.
Mkuu nina Redmi 5 plus lakini ina chinese rom, naomba kujua namna ya kuinstall google services na/google play store.
 
Mkuu nina Redmi 5 plus lakini ina chinese rom, naomba kujua namna ya kuinstall google services na/google play store.
Step 1
1.Nenda kwenye app store

Step 2
Search kwenye app store neno google then ukisha search shuka chini kwenye hiyo apo ya blue na tap hyo

Step 3
Install hyo app hapo then ikimaliza kuinstall google services zote Play store itakua tayati imeshaingia

Ukishindwa kabisa ingia google kwa simu yako the search download playstore apk file
 
Mkuu nimefanikiwa, ninakushukru sana.
 
INAUZWA
Device- XIAOMI MI redime note 4
Ram 3gb
Internal 32gb
Miui 9.5.3.
Fingerprint
Camera mbele 5 MP LED Flash
Camera nyuma 15mp
Global version ina Google play
Battery capacity 4100mah

Bei 300k

Location Dar

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…