Nisaidie kumwambia wifi yako haya dadaKuna kingine zaidi ya michepuko???
Kila mtu akae na simu yake maisha yaendelee, maisha yenyewe haya vurugu bado tena ujitafutie vurugu za kumchunguza mtu....
Tuendelee kupendana simu zisitugombanishe.
Nitamuinbox nimwambie aache hizo, na nitamuuliza anakutaka wewe mdogo wangu au anataka simu yako?!Nisaidie kumwambia wifi yako haya dada
Utanipa mrejeshoNtamuinbox nimwambie aache hizo, na nitamuuliza anakutaka wewe mdogo wangu au anataka simu yako?!
Mistari miwili ya mwisho umemaliza kabisa. AhsanteKuna kingine zaidi ya michepuko???
Kila mtu akae na simu yake maisha yaendelee, maisha yenyewe haya vurugu bado tena ujitafutie vurugu za kumchunguza mtu....
Tuendelee kupendana simu zisitugombanishe.
Dada kunywa K-vant kubwa nakuja kulipa.Wanasema Simu ya mwanaume ni kama "kitunguu maji, ukikikata lazima ulie" kwa yale utakayoyakuta[emoji23] kama unampenda na hauko tayari kumuacha basi usipendelee sana kushika simu yake, jiepushe na stress sizisizo na ulazima. Kila mtu abaki na simu yake tu.
ππ nishachukua kubwa bill kasema ni 20k nikupe no utume?πDada kunywa K-vant kubwa nakuja kulipa.
Teh Teh Teh!Wanasema Simu ya mwanaume ni kama "kitunguu maji, ukikikata lazima ulie" kwa yale utakayoyakuta[emoji23] kama unampenda na hauko tayari kumuacha basi usipendelee sana kushika simu yake, jiepushe na stress sizisizo na ulazima. Kila mtu abaki na simu yake tu.