Chotti de Alba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 348
- 106
Naomba kwa anaejua ubora wa simu za tecno N7 au phantom smartphones kwa anaezifahamu au aliewahi kutumia
Mi nimetumia N7 its nice,internal 4GB/8GB,RAM 1GB,PROCESSOR 1GHZ
OS: Android 4.0.1 Icecream sandwich,ila phantom ndio balaa
Thanx mkuu..na hzo n7 zna quality kiasi gani ktk upande wa camera na ni sh.ngap?