Simu za TECNO na GSMArena

Simu za TECNO na GSMArena

ina maana bila youtube siwezi kujua? naomba jibu lililoshiba

Hata mimi waheed SUNDAY nahitaji majibu ya maswali ya golota

Ndo maana nikatoa option ya pili ya techradar.com, hii haihitaji streaming ni kuperuzi kwa kusoma maelezo. Hawa jamaa wa techradar na cnet huwa nawakubali sana reviews zao ingawa bado kuna site nyingi wanazofanya review za simu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom