Simu za sony

Hio simu
Too delicate. Nilishaua mbili. Yaani hata ikigongana na sarafu ya jero mfukoni inapasuka kioo. Na hapo ina screen protector. Vinginevyo ni simu nzuri sana japo hazifikii muziki wa Samsung!
Huenda ilishabadilishwa kioo na wajanja. Mi ninayo Xperia XZ1 ina kioo OG cha kuja na simu mtoto huwa anaichezea na kuiangusha sana. Nishajikwaa nikaanguka nayo ikiwa mkononi zaidi ya scratches hamna damage na haina protector ni zaidi ya miezi 6 toka niinunue.
 
Simu za Sony mnazionqje wakuu haswa Sony experia 1 mark ii, mark iii na mark iv kwenye performance camera na zinapatikana wapi kwa bei gani haswa haswa mark ii na mark iii
Simu za muda mrefu, nilinunua moja 2014 hivi posta pale, ni nzurii kwa Wakati ule sijui sasa kama zipo bado
 
Back
Top Bottom