Hizi cm sinunui bora nibaki na alcatel tu.
Ukiona simu non removable battery basi ujue hiyo ni simu ya ukweli labda kama ni brand ya mchina
Device zenye matatizo ya kustuck na bettry mbofu mbofu hazitengenezwi non removable battery
ni simu nzuri na pia betry zake zipo za kubadilisha mfano ni iphone, htc zinabadilishwa ila jiandae bei za betri kwani zinaelekea kuwa nusu ya ile uliyonunulia siku!!! lakini mpaka zife kuna safari ndefu sana mie nina i phone ya miaka saba sasa bado kabisa betry yake
Umesema una iPhone ya Miaka 7.
Ok. 2013-7=2006
Tuendelee..
2013----Iphone 5S
2012----Iphone 5
2011-----Iphone 4s
2010-----Iphone 4
2009-----Iphone 3GS
2008-----Iphone 3G
2007----Iphone Original (Sijawahi kuiona).
2006----???????
Tusaidie mkuu.
Ameanza kuhesabu na 2007 kama mwaka wa kwanza na 2013 kama mwaka wa 7
Hahahaa siku hizi simu za Removable hazina soko tenaVitu vigeni bwana vikiianza kuingia kila mtu asema lake.
Mpaka leo sidhani kama kuna mtu anahofia tena simu za non removable betri
HTC wilf fire ilikuwa simu yangu pendwa sanaaWakuu hamjambo?
Mimi nilikuwa na kaswali kadogo tu je kwa wale mliowahi kutumia simu za mfumo wa Non-Removable battery zinapochoka bater huwa zinabadilishwaje?
Changamoto zake zikoje maana simu kama za samsung betri waweza badilisha muda wowote.
Mfano wa non removable ni. HTC ONE NA ASCEND P6
Ni WildfireHTC wilf fire ilikuwa simu yangu pendwa sanaa