Simu za mikononi ni janga...

Simu za mikononi ni janga...

Mkuu mi nilishika simu ya wife siku moja almanusura nimtoe roho ... from the messages she was sending to her friend (a guy)

Baadae nikafanya uchunguzi kumbe yule jamaa ni BWABWA (a gay)
Nikamshukuru Mungu kwa kuniepusha na dhambi ya kuua

Ila all in all; andika msg ambayo u are sure your spouse akiiona hatokasirika; ukitaka kufanya uhuni piga simu
messages noma sana maana hujui kule inapoenda inasomwa na watu wangapi
 
Back
Top Bottom