simu za kutouch!

this happened to me when i got my touch phone but nimezoea sasa hivi. nilikuwa natuma tena neno lililokosewa so haikuwa issue sana.
 
Mi nilidhsni wadada hamna shida sababu mna vidole vyembamba... mi napata shida cz nukipeleka kidole kinagusa batanu tatu kwa mpigo...
 
Nikiona mtoto wa kiume/mwanaume anatumia simu ya ku-Touch huwa ninamuona ni mtu wa ajabu sana.
 
jamani hizi simu za kutach tach hizi mbona majangaa
boss wa smile:mbona hukunipigia tena jana
smile: nilimaleza repooort usiku bosso nikaona muda huo utakuwa umelalwa sana

Tupo wengi mi huwa na edit hadi basi maana unaweza kumtukana babayako hvhivi
 

Sio bure viroba vilihusika.
 
Thnx to jf now nimepunguza matus ya bila kukusudia nishawah kutuma sms yeny neno ---- badala ya kuna.
 
Mi kuna siku nlim text wifi yangu, ilibidi aniulize leo umeandika kingazija? Kuja kurudia kusoma ile sms mi mwenyewe nlicheka, mana nlichanganya sentensi ata azieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…