Simu za Kichina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simu za Kichina

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by BornTown, Sep 8, 2010.

 1. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jamaa mmoja alifiwa na rafikie mpenzi sasa wakajikusanya marafiki wote wakasema wao ndio watakao beba jeneza la mpendwa wao kwa ajili ya kwenda kuzika, walipo nyanyua jeneza na kuanza kutoka ndani ya nyumba simu ya mmoja wa marafiki ikaanza kulia kwa sauti kubwa wimbo aliokuwa ame save kwenye simu yake ni ile taarab ya JKT Kimasomaso mwanangu msimwone....
   
 2. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mtoto wa mjin Mbona Imeelekea nashughuli yenyewe
   
 3. senator

  senator JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Pata picha simu za kichina zilivyokuwa na sauti kali na kubwa ila ndo shughuli yenyewe hiyo ingawa wameshamwona wakat wa kumuaga kama ni wakristo
   
Loading...