Simu za Halotel H6302

Bado sijaujua ufeki upo wapi ni sawa na kuuziwa NOKIA yenye kava la TECNO.ukituma usitarajie majibu ya TECNO but yatakuja ya NOKIA.
N:B hapo mchawi ni kava tu.
Sio kweli kama ni cover tu. Kwa wale tuliozoea ku-root simu inakuletea kabisa jina halotel na model yake. Ingekuwa issue ni cover ukiroot wasingekuonesha kwamba simu unayoiroot ni halotel.
 
Hapo hakuna tatizo. Hili ni suala la BRANDING tu. Ni kama vile Modem imeandikwa Airtel na dashboard ni Airtel lakini kiUhalisia ni Modem ya HUAWEI. Sasa hao halotel wamefanya branding ya moja kati ya Brands za china. Ni kama vilivyo vifaa vya electronic vya SONY, LG, JVC, PHILIPS, PANASONIC,AIWA, DAEWOO etc etc lakini ndani ukiangalia kuna IC na components za samsung, STmicroelec, matsushita, sanyo, szy etc etc
 
Haya buana
 
Umenisoma eeh? Kuna kampuni kibao pia zinaBrand vitu vya ICT kwa majina yao lakini ukiangalia hivyo vitu kwa makini unakuta ni origin ya bidhaa zinazotambulika
Kwa hiyo halotel tuseme walitoa kandarasi kwa wachina bila kuwapa masharti ya kutumia branf yao?
 
Umepewa warranty ya mwaka mzima shida iko wapi? Ikizima warudishie ila kama umenunua kiholela mtaani itakula kwako
 
Kwa hiyo halotel tuseme walitoa kandarasi kwa wachina bila kuwapa masharti ya kutumia branf yao?

Yap. Wanarahisisha kazi kwa kuEdit product iliyokuwa inaExist. Yaani kama ni gari basi wanatengeneza body na kuliandika Halotel na huku injini ni ya suzuki
 
Selikali imewafundisha kukalili na wewe hapa umeonyesha ni jinsi gan una uwezo wakukalili.
 
Selikali imewafundisha kukalili na wewe hapa umeonyesha ni jinsi gan una uwezo wakukalili.
Na wewe usiekariri umemsaidiaje huyo alofundishwa kukariri?
Maendeleo huja kwa kusaidiana na kuelekezana na sio majungu.

Zaidi umejidharaulisha mwenyewe. Hovyo kabisa.
 
Hebu ingia kwenye tovuti yao naona wametoa maelezo au kama nenda TCRA kupata maelezo ya uhakika
 
halotel ni fake kwa kuwa hawairegister kwenye mitambo na haijapata fcc registration
 
Halotel hawa simu feki angalia hiyo barua yao utaelewa vizuri
 
QED quite easily done; mimi nina receipt yao Halotel, cm yng ikizimika they will be held liable kwa simu yenyewe, usumbufu na embarrassment, lazima watanilipa tu
 
nimeweka barua hapo hamtaki kuisoma
ila ipo hivi cm zote za halotel zina majina 2,mosi jina la model ya cm Eg H6301,pili jina halisi la model la mtengenezaji Eg GE55.hivyo ukiangalia kwa namba za TCRA litatoka jina la mtengenezaji,naweka hii barua yao hapa ili kuondoa wasisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…