Kwa hiyo fundi wa ku toa lock anahitajika hapo duh. Hatare nyingine hiiH8401 ni smartphone inakaa na chaji 24hrs na kuendelea kulingana na matumizi yako.
Ila tambua kwamba ni SIM 1 pekee ina-support 3G na hapo inaingia line ya halotel pekee. Ili uweze kuweka line ya mtandao mwingine kweny SIM 1 ni lazima ui-unlock.
Mkuu mie sio smartphone, ni ya kawaida tu na nimeuziwa 30,000*2=60,000/- lkn tatizo nahofu kuwa june 2016 itakosa kaziSimu za halotel nazikubali sana hasa H8401 smartphone kwani inauwezo mzuri sana ukilinganisha na simu za mitandao mingine kama tigo, airtel na voda ambazo mara nyingi zinakuwa very slow (unabofya app flan mfano sms au contact then unaisubir i-load)
Wewe unaelilia simu ya 22,000/= pole maana hata iphone wanapewa jibu hilohilo.
Nasubir kuona tz ambayo haiwez kutengeneza hata saa ya mkonyezo ikizima simu wanazoziita fake.
Kwa kweli usemayo ni ya msingi maana hata smartphone zote za halotel hazioani na SMS inayorudishwa baada ya kutuma IMEI kwenda 15090.Mkuu mie sio smartphone, ni ya kawaida tu na nimeuziwa 30,000*2=60,000/- lkn tatizo nahofu kuwa june 2016 itakosa kazi
Sasa hiyo kusubir halafu siku ya siku ukose mawasiliano, hasira yake utaikabili mzee?Kwa kweli usemayo ni ya msingi maana hata smartphone zote za halotel hazioani na SMS inayorudishwa baada ya kutuma IMEI kwenda 15090.
Tusubiri siku Ifike tuone zikizimwa. Zaidi ngoja nimpigie kijana wangu yupo kariaakoo mobile plaza ambapo zipo ofisi za halotel kisha ntawapa mrejesho.
Gharama ya simu mbili nilizonunua ni 60,000/-, kinachouma ni siku tcra wakizima simu fake, na bado miezi mitatu tu.Nikirudishie nusu hasara mkuu maana naona huna imani nao hao jamaa
Ni sawa kabisa, na siku zikizimwa hasira zatapanda vibaya mno.Sasa hiyo kusubir halafu siku ya siku ukose mawasiliano, hasira yake utaikabili mzee?
Akili za wafanya biashara ni mbovu sana, hebu fikiria, wamenunua mzigo wa kutosha wa simu fake, halafu wanaiomba serikali ili isitishe kuzima simu fake hadi WAMALIZE STOCK ZAO.
Sasa wao wanawaza kupata faida huku wakiacha wananchi katika wakati mgumu
Sasa tufanyeje sasa? Tuendelee kununua halafu tusubiri? Maana kwa mimi niliyenunua kwa wakala, nikienda pale sidhani kama atanipokea. Na tuwafikirie zaidi wa vijijiniNi sawa kabisa, na siku zikizimwa hasira zatapanda vibaya mno.
Lakini ni vyema kuwajua hawa halotel ni kina nani hasa.
Halotel ni jina la kibiashara linalotuniwa hapa tanzania kutoka katika kampuni kubwa ya VIETTEL ya Vetnam inayomilikiwa na jeshi la nchi hiyo. Kwahiyo kwa ujumla ni kwamba hakuna kiwanda kinachoitwa halotel kinachozalisha simu ila wanachokifanya ni kuandika tu majina yao ya kibiashara ktk simu hizi zinazotengenezwa na kampuni tofauti.
Hapo unahitajika msaada wa kisheria hasa kutoka kwa hawa TCRA maana ndio wamewapa kibali cha kutuhudumia hivyo kama simu zao zitakuwa fake ni lazima hatua zichukuliwe.Sasa tufanyeje sasa? Tuendelee kununua halafu tusubiri? Maana kwa mimi niliyenunua kwa wakala, nikienda pale sidhani kama atanipokea. Na tuwafikirie zaidi wa vijijini
mkuu inakubali line zote?Simu za halotel nazikubali sana hasa H8401 smartphone kwani inauwezo mzuri sana ukilinganisha na simu za mitandao mingine kama tigo, airtel na voda ambazo mara nyingi zinakuwa very slow (unabofya app flan mfano sms au contact then unaisubir i-load)
Wewe unaelilia simu ya 22,000/= pole maana hata iphone wanapewa jibu hilohilo.
Nasubir kuona tz ambayo haiwez kutengeneza hata saa ya mkonyezo ikizima simu wanazoziita fake.
SIM 1 inaingia line ya halotel pekee ila SIM 2 inakubali line zingine.mkuu inakubali line zote?
Usisahau mrejeshoHapo unahitajika msaada wa kisheria hasa kutoka kwa hawa TCRA maana ndio wamewapa kibali cha kutuhudumia hivyo kama simu zao zitakuwa fake ni lazima hatua zichukuliwe.
Ngoja nijaribu kuwatafuta hawa TCRA watupe ufafanuzi.
Program file za unlocking bado hazijatolewaSIM 1 inaingia line ya halotel pekee ila SIM 2 inakubali line zingine.
Unaweza kuswitch 3G ktk SIM 1 tu hivyo ili utumie line tofauti na halotel ktk SIM 1 ni lazima ui-unlock hiyo simu.
Nimewatumia malalamiko kweny account yao ya tweeter hivyo nasubiri mrejesho. Kama watanijibu ntaweka mambo hadharani.Usisahau mrejesho
Kwa smartphone tayari mfano hii nnayotumia saiv nimei-unlock na natumia line ya voda coz hapa nilipo halotel haushiki ila kwa hizi simu za kawaida bado hakuna anaeweza ku-unlock.Program file za unlocking bado hazijatolewa
Hili jukwaa ndio maana wataalam wengi wamekimbia, kabakia chifumkwawa tu.Kwakuongezea pia nnatumia H6302 kwa kuchat zaid na inakaa na chaji Sikh mbili mpaka 3 wakati nikitumia H8401 kwa maswala ya internet na inamaliza 24 hrs ukiwa umewasha 3G kutwa nxima.
Rudi halotel majibu watakayokupa ya attach hapo, maana hivi utakua kama umetumwa...
Usiogope, hiyo H............. inasimama kama initial letter ya hilo neno HONGKONG.Wana bodi,
Kwa masikitiko makubwa, nimeshitushwa na simu za halotel H6302 ambazo zinauzwa na halotel na mawakala wao nchini.
Simu hizi kwa kuwa ni brand ya halotel, nilitarajia zitakuwa original na hivyo siku tcra wakizima mitambo ya simu fake, basi watumiaji wa simu hizo watakuwa salama.
Chakushangaza sasa, nazo zimo kwenye orodha ya simu zitakazo shindwa kufanya kazi kwa ufake wake.
Nimeangalia kwa kutumia utaratibu wa kutuma imei no kwenda 15090 na haya ndo majibu yake.
"... Hong Kong Garland International Limited - T-max M1,M2 - Kama IMEI haioani na simu yako wasiliana na muuzaji. Usipoweza,ibadilishe kabla ya Juni 2016 kwani yaweza kuzimika...".
Wito kwa ndugu zangu, simu hizo hazioani na aina ya simu hivyo ni matatizo. Tuzieupuke kukwepa hasara. Iwapo ukinunulia ndugu zako vijijini kwa kuamini ni salama, utaumia.
Aksante