Thanks.
Nina maana ina uwezo wa kusoma kutoka ktk NFC Device/Card
Writer In uwezo wa kuandika ktk Card husika (si rahisi kuwepo kwenye simu ila nimeweka in case ipo ambayo sina taarifa zake)
Unaweza kunisaidia kwa cheapest brand zenye NFC reading capabilities ambazo zinapatikana Tanzania
Mimi nna BlackBerry z30 na inafanya hayo yote uliyoyasema na nimeinunua hapahapa bongo!