Emmanuel S Jonathan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 389 Reaction score 292 Jul 22, 2020 #21 Chief-Mkwawa said: Kuna kipindi zilikuwepo mjini sapna pale, ila muda sana, na bei zake kawaida sana. Click to expand... zilikuwa mtaa gani na bei yake ilikuwaje!??
Chief-Mkwawa said: Kuna kipindi zilikuwepo mjini sapna pale, ila muda sana, na bei zake kawaida sana. Click to expand... zilikuwa mtaa gani na bei yake ilikuwaje!??
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Jul 22, 2020 #22 Emmanuel S Jonathan said: zilikuwa mtaa gani na bei yake ilikuwaje!?? Click to expand... Chini ya 50,000 sikumbuki vizuri bei ilikuwa muda sana, na Sapna wapo Samora mjini ni duka maarufu hivi.
Emmanuel S Jonathan said: zilikuwa mtaa gani na bei yake ilikuwaje!?? Click to expand... Chini ya 50,000 sikumbuki vizuri bei ilikuwa muda sana, na Sapna wapo Samora mjini ni duka maarufu hivi.
Emmanuel S Jonathan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 389 Reaction score 292 Jul 22, 2020 #23 Chief-Mkwawa said: Chini ya 50,000 sikumbuki vizuri bei ilikuwa mda sana, na Sapna wapo samora mjini ni duka maarufu hivi. Click to expand... Shukran bro nitaenda kucheki
Chief-Mkwawa said: Chini ya 50,000 sikumbuki vizuri bei ilikuwa mda sana, na Sapna wapo samora mjini ni duka maarufu hivi. Click to expand... Shukran bro nitaenda kucheki
Kaka mwisho JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 409 Reaction score 182 Aug 19, 2021 #24 Chief-Mkwawa said: Kuna kipindi zilikuwepo mjini sapna pale, ila muda sana, na bei zake kawaida sana. Click to expand... Nataka kuchukua Nokia 1.3 kwa 190000. Je kuna simu nzuri zaidi ya hii kwa bei hii.?
Chief-Mkwawa said: Kuna kipindi zilikuwepo mjini sapna pale, ila muda sana, na bei zake kawaida sana. Click to expand... Nataka kuchukua Nokia 1.3 kwa 190000. Je kuna simu nzuri zaidi ya hii kwa bei hii.?
khamis kilo JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 1,225 Reaction score 1,549 Aug 19, 2021 #25 iphone xr na iphone 6s plain hizi ndio waandishi wengi wa habari uzitumia hasa wale wa kuchukua matukio na video
iphone xr na iphone 6s plain hizi ndio waandishi wengi wa habari uzitumia hasa wale wa kuchukua matukio na video
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Aug 19, 2021 #26 Kaka mwisho said: Nataka kuchukua Nokia 1.3 kwa 190000. Je kuna simu nzuri zaidi ya hii kwa bei hii.? Click to expand... Nafkiri hakuna mkuu, Jaribu tu kupitia mitandao ya simu, hasa Zantel waweza kupata rahisi zaidi.
Kaka mwisho said: Nataka kuchukua Nokia 1.3 kwa 190000. Je kuna simu nzuri zaidi ya hii kwa bei hii.? Click to expand... Nafkiri hakuna mkuu, Jaribu tu kupitia mitandao ya simu, hasa Zantel waweza kupata rahisi zaidi.