Samsung A20, A20s , A30
hela nyingi sana hii,mimi nikajua una tsh 150000[emoji16][emoji16]
mkuu sorry nje ya mada kidogo.budget yako kiasi gani? simu zenye 4g na camera nzuri zipo zaidi ya 1000
Zinafunguka kama Network lock ila icloud ndio ngumu.mkuu sorry nje ya mada kidogo.
hivi iphone zilizo network loked hazifunguliwi???maana nyingi zinauzwa hivi hivi.au ni gharama sana?
Eeh mkuu na kwa sasa anayo jamaa yangu. Its super cleanHii kitu umewahi kuitumia?
Kwa laki 6 Samsung Nzuri ni A50/50s/51 hata kidunia Ni best All arounder,Bajeti yangu isizidi lk TZS.600,000
Zinafunguka kama Network lock ila icloud ndio ngumu.
Gevey zinakuwa ni kama line unapachika line yako ndani ya gevey na kuiweka ndani ya iphone inatoa lock.
Mtaani pia zipo za kutosha
Gevey SIM RSIM 15 - GeveyStore Home Page - RSIM, XSIM, Gevey SIM and more
Kikawaida, activation inakuwa mara moja tu. Kule Us ku unlock simu ni haki ya mmiliki wa kifaa na mitandao ya simu wanatoa hio huduma kabisa,mkuu ii uki update simu inakuwaje itaendelea kufanya kazi kwa ios ya juu yake au unanunua ingine tena
Kikawaida, activation inakuwa mara moja tu. Kule Us ku unlock simu ni haki ya mmiliki wa kifaa na mitandao ya simu wanatoa hio huduma kabisa,
Sema kutegemea na exploit waliotumia unaweza ukahitaji ku activate tena kila unapo update ios.
Uzuri ni kwamba unaweza itumia multiple time kwenye kifaa chako ama hata vya watu wako wa karibu. Na zipo aina za sim ambazo unaweza kuzi update firmware incase njia ya sasa imeblokiwa.
Kuna kipindi zilikuwepo mjini sapna pale, ila muda sana, na bei zake kawaida sana.sawa mkuu shukran sana, nina iphone 8 plus ina carier nita agiza iyo gavey