Jamani mwenye kuelewa unapodownload video kwenye METROTUBE unaenda wapi...nimetafuta mpaka nimechoka au mwenye ufahamu app gani ya Windows Phone ya kudownload video ambayo baada ya kudownload unaiona ilipo....natanguliza shukrani
Cc Chief-Mkwawa
Sent from Microsoft Lumia 950xl Lte