Simu yangu ya samsung a 71 naomba msaada

Mtu anakwambia AC ya internetimekufa, mbona na line hazisomi sasa!!!!

Kkoo bana sometime michosho sana.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
 
Zote nmejaribu imekataa
 
Mi nnayo A70 ilikufa kioo haziingiliani nikuuzie mashine
 
Machine haziingiliani mkuu.hiyo machine yako wauza bei gani? Na kiio kimekufaje?
Touch haifanyi kazi ila in disply na kuwaka frewsh tatizo touch kuhusu mashine ni maelewano au Kama unakioo cha hiyo used niuzie
 
Hii ndio solution. Eti anasema anaipenda!😁😁🤣🤣 achana nayo tafuta ingine.
 
Ishakufa hiyo..itazidi kumtia hasara tuu. Mimi simu ikipasuka kioo tu huwa sibadilishi nanunua ingine sababu ukipadilisha tu huwa hairudi kuwa kama ilivyokuwa mwanzo...sababu kubwa ni carelessness ya mafundi wengi wa kibongo yaani wanafanya kazi kwa kubahatisha sana.
 
Fundi anashika na mavidole yenye mafuta upande wa ndani wa touch, finally fingerprint zinakuwa zinaonekana kwenye kioo kwa ndani. [emoji1787][emoji1787]

Mwingine hii simu ni 1ml,ukikuta ameifungua namna anavyoihandle baada ya kuifungua, ndio utajua hawa jamaa ni wapuuzi kiasi gani[emoji16][emoji16].

Nilimpelekea fundi sony xperia abadirishe touch, akanambia ni 80k,akaifumua na kuivua touch, kwenda dukani anakuta spare hakuna na ile aliyoivua kaivunja vunja haiwezekani kuirudisha. Hapa ndipo nilijua kkoo hakuna mafundi kuna wahuni tu na bisi bisi.
 
Hahahahaha mimi.yameshanikuta Mkuu, tena kwa Mafundi wanaosifika mjini! wengi wao ni mafundi wa kubadili betri tuu vingine hawawezi kabisaaa yaani wanaharibu zaidi ya kutengeneza, Mimi saivi simu ikizingua wala sihangaiki, huwa nagawa tu kwa ndugu au jamaa akahangaike nayo mbele ya safari.
 
Kwanza pole Sana mkuu simu ya 900k sio mchezo ilipaswa walau ikae 5 years ndio usahau maumivu.

Kwenye hardware bongo hakuna mafundi na nashindwa kuelewa kwanni agents dealer atake Malipo kwenye services ambayo iko kwenye warranty.
Poleni watumiaji wa Samsung maana angekuwa ni mtumiaji ni tecno ungesikia wee itupe tu na takataka hiyo lkn kwa vile ni mkorea wako kimya.
All in all electronical devices sio vitu vya 100% kudu u.
 
Vp umefanikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…