Simu yangu tecno j8 inagoma kusaport whatssap na Facebook

ghona18

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
573
327
Naomba msaada. Simu yangu tecno j8 inagoma kusaport whatssap na Facebook....kila nikijaribu kuingi whatssap inaniambia your not connected to internet ,try to connect if problem continue plz reboot your phone...
Nikiwa connect kwa Wi-Fi inapiga kazi vizuri ,bando ninalo LA mwezi mzima .
Msaada tafadhali
 
Hapo maana yake simu yako haina internet settings ambazo zitakuwezesha upate internet pia km hujajiunga na mb huwezi kupata internet nipe mrejesho hilo tatizo lako ni dogo sana karibu
 
Nashukuru kwa mchango wako
Izo setting za internet zipo maana mafanya mambo yote yanayohusu kama geogle,if,YouTube napakuwa video bila wasiwasi,naweza angalia online tv nk.
Tatizo lililopo haisaport whatssap na Facebook nikiwa sehemu yenye Wi-Fi zinakubali vizuri tu
 
kindly change this on your Hi Manager>Bandwidth Management>Network Management> Tick Whatsapp.
 
Nimejaribu kutafta izo setting's lakini sizioni kabisa o "_"
1478175822603.png
1478175868871.png
1478175886209.png
55)"
 
Sometimes browser zinakubari fungua internet kwa settings za wap lakin apps kama whatsapp zinagoma, ebu kaangalia kama una access point kweli
 
Naomba msaada. Simu yangu tecno j8 inagoma kusaport whatssap na Facebook....kila nikijaribu kuingi whatssap inaniambia your not connected to internet ,try to connect if problem continue plz reboot your phone...
Nikiwa connect kwa Wi-Fi inapiga kazi vizuri ,bando ninalo LA mwezi mzima .
Msaada tafadhali
Hata mimi kuna mtu kaniletea Tecno yake ina tatzo hilo hilo,net ipo vzur ila WhatsApp na Facebook unaambiwa connect to the Internet na nmejaribu WI-FI inapga kaz..sna uzoefu na Tecno ila ngoja nijaribu kama nita solve.
 
Back
Top Bottom