Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,808
- 2,728
Badili charger .kwanzaHabari wakuu,
Samsung Note 10 yangu, mwaka jana ilianza kutokaa na chaji. Mafundi walinishauri nibadili betri. Nikabadilisha pale Kariakoo nikimshuhudia fundi hatua kwa hatua.
Ghafla haikai na chaji. Nimepeleka kwa mafundi wawili, wanafanya ujanja wa kuiset inachaji hadi 100% nikiwa ofisini kwao, lakini nikifika home chaji inakuwa zero na haipandishi.
Naombeni msaada.
yes.miaka 6 sasa,inapiga kazi.Hiyo simu uliinunua ikiwa mpya?
Daaaah jamani!!!! Miaka sita na unataka ibaki imara....😁yes.miaka 6 sasa,inapiga kazi.
Kama ni hivyo nunua tu nyingine hiyo imeshajichokea!yes.miaka 6 sasa,inapiga kazi.
Achukue hio aweke kioo chake takatakq zingine auze spare kama zinauzikaNinayo note 10+og, iligonga kioo ipo kwa droo imetulia nipe dau nikuachie ukapate betri ya masaa 16 na vitu vingine
nicheki kwa 0713 039 875Ninayo note 10+og, iligonga kioo ipo kwa droo imetulia nipe dau nikuachie ukapate betri ya masaa 16 na vitu vingine
Hiyo ishakufa mkuu usipoteza hela tatizo hilo nishawai pata kwenye Samsung S4 kitambo sana nilizunguka dar yote posta na kariakoo, mpaka kwenye ofisi za Samsung yule fundi akanichana tu bro simu motherboard ishakufa inafyonza umeme mwingi we nunua tu nyingineHabari wakuu,
Samsung Note 10 yangu, mwaka jana ilianza kutokaa na chaji. Mafundi walinishauri nibadili betri. Nikabadilisha pale Kariakoo nikimshuhudia fundi hatua kwa hatua.
Ghafla haikai na chaji. Nimepeleka kwa mafundi wawili, wanafanya ujanja wa kuiset inachaji hadi 100% nikiwa ofisini kwao, lakini nikifika home chaji inakuwa zero na haipandishi.
Naombeni msaada.
Miaka 6 mingi sana, badili simu. Sio mke huyo mpaka kifo kiwatenganishe.yes.miaka 6 sasa,inapiga kazi.
Badili betriHabari wakuu,