Simu yangu inatumia muda mrefu kuchaji

Unatumia simu gani? Je charger unayotumia ndio Iliyokuja na simu? Battery ya simu yako ina ukubwa gani?
 
Jaman mbona mm cm yangu inachukua muda mwingi kujaa chaj kama maa8 nifanyeje ijae haraka
Inaweza kuwa tatizo ni betri au waya ya charger sasa ungejaribu kutafuta origin, au ipeleke kwa fundi inawekana ikawa ni system charge au AC
 
Anza na kubadilisha chaja kisha betri..ukishindwa kujisaidia mwenyewe,ndipo uende hospital..
 
mkuu ingia playstore download app inaitwa ampere halafu chaji simu huku hio app umeifungua itakuambia ni kiasi gani cha umeme kinaingia.

kwa smartphone ya kisasa inabidi angalau 1000ma (1A) ndio inatosheleza kucharge upesi upesi.
 
Jaman mbona mm cm yangu inachukua muda mwingi kujaa chaj kama maa8 nifanyeje ijae haraka
hapo kuna mtatizo mawili la kwanza linaweza kuwa charger yako current ni ndogo la pili linawza likawa betri swali je ikijaa hiyo simu unatumia kwa muda gani
 

check hiyo input current, kama ipo chini ya hiyo tafuta charger nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…