Expert Judgement
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 442
- 718
VFD 1100 Vodacom smart tabAina ya simu tafadhali
sina ugomvi na mtu ila angejitokeza huko kusiko julikana basi simu ipone sijpiga hata simu moja leoHauna ugomvi na mtu ambae yupo kusikojulikana?
Wakuu naombeni msaada leo nimekumbana na tatizo hili kwenye simu yangu kila nikijaribu kupiga inaanza kwa kutoa mlio km alarm ya luku mita afu baada ya hapo inaweka ile alama ya flight mode nabaada ya hapo simu inajizima yenyewe...
Lakini text zinaingia kama kawaida pia huduma ya internet naipata kama kawaida. Naomba kuwasilisha nikiwa na matumaini lukuki yakutatuliwa tatizo langu
Unskilled
ama kweli cheap is expensive kwakeliMkuu angalia isije ikawa imejiseti kwenye LUKU Mode. Kwa maana hizi simu za bei poa zinakamata hata mlio wa bodaboda.
ngoja wadukie wakutane na sms za usajili wa vidole na katazo la mifuko ya plastic!unadukuliwa
π π π π πngoja wadukie wakutane na sms za usajili wa vidole na katazo la mifuko ya plastic!
unadukuliwa
Anagalia setting za Simu ,kama zipo sawa na bado inasumbua Fanya restore factor
nimeifanyia factory restore imekubali sahizi kitu mswano nikutwanga tu
Anagalia setting za Simu ,kama zipo sawa na bado inasumbua Fanya restore factor
kimeo kimepona nimekifanyia factory restoration wadau asanteni kwa ushirikiano wenu BT inabidi nitafute simu nyingine haraka sana