simu yangu ina shida ya ku.share Location

Chibwa

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Huwa nikitaka ku.share Location iwe whatsapp, Facebook, instagram haikubali naletewa huu ujumbe

"Maps are not supported for this app at the moment. Keep an eye out for updates"

Natumie Nokia XL
 
Attachments

  • Screenshot_2015-01-08-11-41-26.png
    Screenshot_2015-01-08-11-41-26.png
    5.8 KB · Views: 57
ni tatizo la api kaka. nokia xl ni aosp na simu za aosp huwa hazirun app za google wakati whatsapp inataka google map. hutaweza kushare location hadi uwe na google map.

nimeskia kuna app mpya ya whatsapp kwa nokia x series. kama ni official huwenda wakawa wametumia here map. wakitumia here utaweza share location
 
Asante nimeelewa
 
Back
Top Bottom